Hagombei yeye kwenye ngazi hii ya serikali za mitaa. CCM wanachofanya kumdhoofisha Dr Slaa kuanzia uchaguzi huu ili mwakani iwe rahisi kumwondoa. Jaribu kufikiria Bunge letu bila mtu kama Dr Slaa.Kwahiyo aachwe awe "Mgombee pekee" mpaka milele..don't bring us back to the dooms days...lazima apate upinzani tusikie other side of him...
Ndiyo siasa za upinzani ambazo "Sote tuliandamana mara nyingi zirudi Tanzania" Good Slaa na chama chake wapambane waking'olewa kikatiba ni sawa ..kwasababu hatuwezi kuwazuia CCM wasiweke kambi huko wala CUF hatuwezi slaa apambane..Hagombei yeye kwenye ngazi hii ya serikali za mitaa. CCM wanachofanya kumdhoofisha Dr Slaa kuanzia uchaguzi huu ili mwakani iwe rahisi kumwondoa. Jaribu kufikiria Bunge letu bila mtu kama Dr Slaa.
nimeisikia hiyo ila mi naona wanapoteza muda tu...Dr.Slaa is a heavyweight politician hawamuwezi
Shaka ondoa hawamuwezi hata kidogo hizo ni pesa zina rudi kwa wenyewe wacha wazitoe karatu si wanafiki kama watu wa dar pamoja na kampeni zote waliichagua ccm! wakazidiwa na wakulima wa karatu kwa kujua haki zao za msingi na kuchagua kilicho bora Dr Slaa mutu ya watu, asanteni sana wana karatu wembe ni huo huoMafioso si ajabu wanapanga mikakati hata ya kuiba kura. Na CCM wana sifa hii ya kuiba kura...wenyewe wanasema "Mbinu zetu". Wanaweza kumwaga mabilioni hapo Karatu kwa hongo za kila namna ali mradi tu wamuangushe shujaa wa Watanzania.
Wanataka nini CCM? Najua wananchi hupiga kura kumpata mtu atakayewawakilisha vyema ndani ya nyumba ya waheshimiwa kule Dodoma, sasa sijaona mapungufu ya Dr. Slaa ambayo yaweza kuwafanya wananchi wake wakese imani naye. Hakika yeye bado ni Heavyweight Politician katika Tanzania. Hata kama angepelekwa nje ya jimbo lake, bado angetikisa tu na kuibuka mshindi. Hivyo, CCM kwa sababu ni chama cha Siasa waachwe wafanya wanachofanya maana mtu kama mimi naamini hiyo ni mojawapo ya demokrasia. Lakini wasitumia njia chafu yeyote katika ujaguzi ujao. Mungu ambariki Dr. Slaa kwa niaba ya watanzania wote na wanakaratu.
Ameni!!
Nimetoa huko Karatu.. Kwani na wewe upo wapi?? au ndio unapiga kambi huko??kweli sisi Watanzania ni watu hatari sana
Mafioso si ajabu wanapanga mikakati hata ya kuiba kura. Na CCM wana sifa hii ya kuiba kura...wenyewe wanasema "Mbinu zetu". Wanaweza kumwaga mabilioni hapo Karatu kwa hongo za kila namna ali mradi tu wamuangushe shujaa wa Watanzania.
kwa sasa haiwezekani ccm kutumia mbinu yoyote kumng'oa dr. Slaa pale karatu kwani amewashtukia. Ndiyo sababu jumapili alikuwa katika kanisa moja la kiroho pale ubungo kwa mchungaji gwajima tena kusudi lake kubwa lililomlete ni kuliomba kanisa lipige majeshi ya maombi kwa mungu ili rushwa, uchawi au kuiba kura visiweze kuondoa huduma yake bungeni ambayo ni faraja kubwa kwa wanyonge wa inci hii. Mungu wa mbinguni anachukia rushwa, uchawi na wizi na sisi pale kanisani tutasimama imara kusema na mungu aitetee sheria yake ili hila zao zote zishindwe
Hawa Mafisadi wananichefua sana, wanaacha kutekeleza ilani yao ya uchaguzi ya maisha bora kwa kila mtanzania wanahangaika na Dr. Slaa. Eee Mola tupe hekima na ufahamu ili tuweze kuwabwaga mafisadi wote 2010."Tuna imani tukiwa na viongozi wa mitaa na vijiji tutakuwa tumepiga hatua moja muhimu kuelekea kutwaa Jimbo la Karatu," alisema kiongozi huyo.
Umeshakuwa msemaji wa JM sio? Unapoki habari ni vema kuonyesha umekopi wapi,zaidi Ta'adabu!
Hivi kuna mwana-CCM au Mtanzania yeyote asiyeona umuhimu wa Dr. Slaa kuwa Mbunge?