Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

chevirole

Senior Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
145
Reaction score
83
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
 
Wa kupelekwa mahakamani ni mwenyekiti wa ccm taifa si rais!
 
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Hakuna kesi
 
Hata nami sikuipenda kabisa hiyo, I wish itokee kweli mana huu ni upumbavu wa hali ya juu kabisa hata kama kusoma siwezi lakini kwa hili hapana
 
Kweli wamebanwa na hapa kazi tu

Awamu zilizopita mbona hawakufanya hivyo!!
 
Hiyo kesi itafunguliwa kwenye mahakama za makufuli au mahakama za wapi
Kuwa na uelewa wewe! Ona unavyozidi kumharibia kwa hili, eti mahakama za makufuli! Yeye hayupo juu ya sheria na anashtakika tu kama mimi na wewe! Kila heri wanasheria.
 
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Huu ni utawala usioheshimu katiba wala sheria ni bora wapeleke madai yao UN
 
Wamjumuishe na huyu.
wp_ss_20170930_0002.png
 
Back
Top Bottom