Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

Sijui ni akili yangu na mawazo yangu au sijui ni ndoto na utabiri wangu dah aisee bado sijaelewa ila kila wakati akilini mwangu linakuja jambo baya sana..kila wakati akili inaniambia kuna mkuu wa nchi muda ulipofika wa kuacha madaraka akagoma kabisa kuachia madaraka
 
Wangeshinda kama wangefungulia Mahakama ya Kenya
 
Kuwa na uelewa wewe! Ona unavyozidi kumharibia kwa hili, eti mahakama za makufuli! Yeye hayupo juu ya sheria na anashtakika tu kama mimi na wewe! Kila heri wanasheria.
Tatizo wanasiasa wenyewe wanasema mahakama haiko huru inapata maagizo kutoka juu sasa iweje Leo waitegemee kiasi kikubwa hivyo?
 
Kweli wamebanwa na hapa kazi tu

Awamu zilizopita mbona hawakufanya hivyo!!
Awamu ya kwanza,ya pili,ya tatu na Nne hawajawahi kufanya Mkutano wa chama ikulu
Awamu hii imetia fora Kwa kufanya Mkutano huo ikulu

Ova
 
Kimsingi hakuna aliye juu ya sheria, hayo ya kusema sijui kuna asiyeweza kishitakiwa hata akistàafu, ni siasa tu hizo. Tatizo watu wamekariri tu katiba badala ya kuielewa.

"The Constitution is the supreme being in the country's set up and NO ANY subject should be deemed to supersede its
sanctity". Na hii ndo maana hata rais anawajibika kuongoza kwa kuifuata Katiba.

Kwa nchi yeyote ya kidemokrasia i.e. ambayo viongozi wake huchaguliwa na wananchi kwa njia ya kura na pia kuweza kuondolewa kwa njia hiyo, kwa mantiki yoyote ya kisheria na misingi ya utawala bora, viongozi wake automatically wanakuwa hawana kinga yoyote inayowalinda kwa makosa wanayofanya wakiwa chini ya kiapo.

Hivyo katiba kusema rais hawezi kushitakiwa ktk nchi kama yetu ni uongo wa mchana kweupe na hii ina-qualify kuleta kutangazwa kwa Constitutional Crisis kwa sababu katiba yetu inaitambulisha nchi yetu kama Democratic State ila cha kushangaza ktk utendaji (Execution) ina-assume the role of Constitutional Monarchy, wakati hii ya mwisho sio katiba yetu.

Mwisho, mahakama zetu ziache unafiki (Double Standard) ktk kutafsiri katiba, waache kuwafanya wengine waonekane miungu watu wakijificha kwenye kichaka cha watu kushindwa kutafsiri katibà ipasavyo hali inayowafanya washindwe kuwajibika kwa wananchi wanapokuwa madarakani.

Kiukweli hakuna kitu kinachoitwa Presidential Immunity hasa ktk katiba ambayo inaundwa ktk misingi ya kidemokasia kama yetu na kama ipo basi hiyo katiba ni "quid quid voverat atque promiserat".

NB: Ninakiri, mimi ni Layman, lkn elimu ni bahari.
 
Udikteta ushaota mizizi
Nchi hii, wa tz tulfanya makosa hatukumzbt mwanzoni tukamuachia lisu peke yake, sasa tutakoma
 
Hata nami sikuipenda kabisa hiyo, I wish itokee kweli mana huu ni upumbavu wa hali ya juu kabisa hata kama kusoma siwezi lakini kwa hili hapana
2020 chadema mtachukua nchi na nyinyi mtafanya mikutano yenu hapo na kwa vile hamna hata office hata mikutano ya vijana, wazee, kinamama hata watoto kama ipo ruksa na nyinyi muwaumize lumumba ila kwa sasa waacheni wapete
 
Tuwe makn watanzania wenzangu, haya ma ccm yanafanya mambo ya hovyo ili kutuamisha kwenye sakata la lisu
 
Back
Top Bottom