Jabu Fredrich
Member
- Sep 13, 2017
- 46
- 36
Nafikiri atashtakiwa mwenyekiti wa chama sio raisHivi Rais anashitakiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri atashtakiwa mwenyekiti wa chama sio raisHivi Rais anashitakiwa?
Acheni umaku, kuua muue ninyi msingizie Nissan nyeupe!!Hawaogopi Nissan Nyeupe?
Sasa mwenyekiti wa chama cha siasa anahusiana vipi na Ikulu? Ukitaja Ikulu maana yake ni raisi.Nafikiri atashtakiwa mwenyekiti wa chama sio rais
Wanafungulia kesi Marekani au.Tunasubiri hukumu kama ni TZ.Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Hii nchi inawezekana ni mali binafsi ya ccm ikulu siku hizi sio patakatifu tenaMe nimesikia kwamba mwnyekiti wa sisiyemu aliomba ukumbi wa mikutano kwa rais, basi akapewa.
Mikutano yake na wanachama wake ni huko chimwaga.Hii kitu imekuwepo kabla hata hamjazaliwa.
Raisi (ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa chama tawala) ni kiongozi mkuu wa nchi. Ikulu ni kwake. Chama tawala ndio kimeshika hatamu, ndicho kinao mustakabali wa nchi. Chama kinashika dola na dola ndio chama. Kiongozi wa chama ndiye mwenye mamlaka ndani ya chama na dola. Ni nani basi atakaemzuia kufanya shughuli zake mahali anapopapenda yeye?
Siasa za chama ni siasa za dola. Sera za chama ndio sera za dola. Chama kinachoshika dola ni zaidi ya chama, ni taasisi. Kwa hiyo nchi inaongozwa na taasisi, na taasisi hiyo ipo chini ya mwenyekiti wa chama. Unataka Ikulu itenganishwe na dola? unataka Ikulu ibinafsishwe? Tambua ikulu ikibinafsishwa basi na nchi itakuwa imebinafsishwa.
Mwenyekiti wa ccm sio Rais.mwenyekiti wa ccm ndo rais au pakoje hapo
hawa wamekosa kazi?Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Bilashaka hai wanasheria watakuwa Zero. Cc twenye akili twajuwa nn kinaendelea. MAGU PIGA KAZWasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Hao watakamatwa muda mchache kabla ya kufika viunga vya mahakamaWasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Umeongea ukweliWa kupelekwa mahakamani ni mwenyekiti wa ccm taifa si rais!
Akili za ki-gombeHakuna kesi
Umevurugwa kotekoteKweli wamebanwa na hapa kazi tu
Awamu zilizopita mbona hawakufanya hivyo!!