Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Nani huyo anayeishitaki serikali ?
 
Siwezi kuwa na deal na mchimba njeremba
Utakuwa una matatizo sio bure umekuwa unaniita mchimba njeremba sijui maana yake nini sijawahi kukushambulia personally hata siku moja ukiendelea nitakuripoti kwa uongozi wa forums sijaja humu kumuattack mtu wala kuattackiwa kila ninapotoa maoni yangu unakuja na hilo neno mchimba njeremba cjui ni kitu gani kwa miezi kadhaa sasa unafanya hivyo am real pissed off this is the last warning you persist I report you.
 
Sema TLS, imeshakuwa tawi la chadema!!
Hivi hamna vitu vingine vya msingi vya kufanya??
 
Utakuwa una matatizo sio bure umekuwa unaniita mchimba njeremba sijui maana yake nini sijawahi kukushambulia personally hata siku moja ukiendelea nitakuripoti kwa uongozi wa forums sijaja humu kumuattack mtu wala kuattackiwa kila ninapotoa maoni yangu unakuja na hilo neno mchimba njeremba cjui ni kitu gani kwa miezi kadhaa sasa unafanya hivyo am real pissed off this is the last warning you persist I report you.
Teeeeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeh wacha mkwara wako wa gaikwadi
 
Mambo yote huwa yanabadilika kulingana na wakati wanajeshi wametawazwa nje ya kambi ya jeshi wapinzani hawakuliona hilo baba mwenye nyumba huwezi kumpangia wapinzani watu wanataka maendeleo sio malumbano pindukeni leteni mawazo mapya inchi isonge mbele
 
Doooo anko ni full bypass yeye yaani mmhhh.... Anatakiwa apunguze sana kiburi chake.. Hii ni nchi sio wizara... Unless awe na plan ya kutaka kutawala Milele.. Hapo ntamuelewa sana!!
 
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Rais anashtakiwaje? Katiba inampa kinga ya kutoshtakiwa
 
Back
Top Bottom