Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

Tatizo wanasiasa wenyewe wanasema mahakama haiko huru inapata maagizo kutoka juu sasa iweje Leo waitegemee kiasi kikubwa hivyo?
Wewe akili yako inakutosha kwenda kuchimba njeremba na kubabua mapanya
 
Watanzania kwa vituko badala ya kujadili vitu nyeti tumebaki kujadili ujinga
 
haha hao ni wasaka umaarufu tu. na mabush lawyer. hakuna mwanasheria mweledi atakayepoteza muda wake muhimu kufungua kesi za kitoto kama hizo.
masikini,Lissu Mungu akuponye haraka uje ututetee wanyonge wako,wakati uko ICU,uchwara ameigeuza ikulu kuwa pango la walanguzi,najua ungekwepo ungeshaitisha press conference kutupa ufafanuzi juu ya ccm kufanya vikao vya chama ikulu
 
Ni halali kwa rais kufanya mikutano ya chama chake as long as hakuna sheria yoyote inamkataza!
 
These peoe wamekosa kazi za kufanya. Mbona kuna mahabusu wengi tu wanataka utetezi maahakamani
 
Awamu ya kwanza,ya pili,ya tatu na Nne hawajawahi kufanya Mkutano wa chama ikulu
Awamu hii imetia fora Kwa kufanya Mkutano huo ikulu

Ova
Walikuwa wanawashwa, kufanyia vikao ikulu wametoa hamu yao.
 
Awamu ya kwanza,ya pili,ya tatu na Nne hawajawahi kufanya Mkutano wa chama ikulu
Awamu hii imetia fora Kwa kufanya Mkutano huo ikulu

Ova
Mmh! Tafadhali kamanda...Fanya utafiti kidogo mkuu. Usijivue nguo hadharani kama Wanaharakati.
 
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
NGOJA TUONE KAMA MTAWEZA KUFANYA HIVYO. VYAMA PINZANI KWA KUKURU KAKARA HAWAJAMBO
 
Magufuli alivyo na majibu mepesi, anaweza kujitetea kile kikao kilifanyikia "nyumbani kwake" kwa kuwa tu anaishi pale.
 
Back
Top Bottom