Wa kupelekwa mahakamani ni mwenyekiti wa ccm taifa si rais!Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Hakuna kesiWasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Labda mahakama za KenyaHiyo kesi itafunguliwa kwenye mahakama za makufuli au mahakama za wapi
Kuwa na uelewa wewe! Ona unavyozidi kumharibia kwa hili, eti mahakama za makufuli! Yeye hayupo juu ya sheria na anashtakika tu kama mimi na wewe! Kila heri wanasheria.Hiyo kesi itafunguliwa kwenye mahakama za makufuli au mahakama za wapi
Huu ni utawala usioheshimu katiba wala sheria ni bora wapeleke madai yao UNWasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
matusi ya nnChibolo kuidako!