Jopo litakalo mhukumu Wakili Mwakabusi [Simba wa Mbeya]

Kwa kesi hii inathibitisha wale waliomfungulia mashitaka wakili msomi BAK ndio waliokuwa wakimtumia meseji za vitisho kwa hiyo wanatakiwa kushitakiwa kwa ugaidi kama waharfu wengine.
 
Alikuwa anapata fedha za "kufanya ulivyoelezea" kwa kutetea bandar?
Ajabu sana mkuu!

Nchi hii ina majitu majinga sana.

Maisha binafsi ya Wakili Boniface yanaingiaje kwenye haya malalamiko dhidi yake kutoka kwa AG?

Mtu anafanya kazi zake za Kiwakili kwa ustadi, anapata pesa yake halali, muda wa mapumziko anaenda kumwagilia moyo, shida iko wapi hapo?

Awewahi kuripotiwa kwamba ulevi umemfanya aharibu kazi yake? Hapana.

Alivyolipambania tu swala la bandari ndio haya yote yanaibuka ili kumchafua tu.
 
Hakika, nafikiri mlevi ni yule ambaye anajiona mzima, ameuzwa na hajui kama ameuzwa.
 
Hako kaaskofu kanapenda majungu🤣
 
Hako kaaskofu kanapenda majungu🤣
Hongera kwa kudharau kwa askofu:
Hongera huenda umemdharau kwakuwa yeye ni mfupi na wewe ni mrefu.
Hongera kwakuwa huenda yeye hana fedha na wewe ni tajiri.

Word forms: majungu
(plural)Ngeli za nomino: ya-
1.maneno ya uzushi yasiyo na ukweli
 
Tanzania umeumbika vyema sana!Kwa sababu ya watmishi wake wamekuondolea sifa yako.Mpaka lini ndipo heshima yako irudi?
 
Wakimnyang'anya leseni watakuwa wamejiharibia wenyewe. Chura ukimpiga take unamwongezea mwendo.
 
Wanamtafutia mashitaka badala wamjibu hoja yake
Viongozi wa Tanzania ni mashetani
 
Sheria ifuatwe, kama hana hatia basi ni heri
 
Nina mashaka ssna na tabaka la Watawala kama kweli wana nia njema na Tanzania.

Ninashangaa kuona matumizi mabaya ya sheria na mamlaka za nchi dhidi ya Wazalendo wa nchi hii
 
Akili za wanaCCM na viongozi wao ni za kipuuzi kupita maelezo. Unategemea mtu kama mwanasheria wa serikali anaconduct ujinga kama huo kisa wameshindwa kwa hoja. Ndo maana kila mkataba serikali ikishitakiwa chaliii. So shem!
 
Viongozi wa dini waitishe maandamano nchi nzima wakivialika vyama vyote vya siasa ikiwamo ccm, chadema
Uda

Pia vyama vya wafanya kazi viwepo

Mimi kama mwananchi nitakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…