Jopo litakalo mhukumu Wakili Mwakabusi [Simba wa Mbeya]

Ndugu Watanzania!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi katika Kamati ya Mawakili kwa tuhuma za kuwasema Waziri Mkuu, Spika, Waziri Mbarawa na Katibu wake Mkuu, Bunge na Wabunge kuhusiana na suala la Bandari ambapo Mwabukusi alisema pia baadhi ya viongozi hao waachie nafasi zao.

Sisi Askofu Mwamakula tuna hofu kuwa kuna njama za kutaka kumnyang'anya leseni ya uwakili kama ilivyokuwa kwa Fatma Karume. Na kwa sababu hiyo, tuliita taarifa za Wajumbe wa Kamati hiyo na kuletewa maelezo yafuatayo kwa kila Mjumbe:

1. Jaji Ntemi Kilekamejenga. Ni Mwenyekiti wa wa Kamati na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba. Ni Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mtu wa karibu sana au ndugu wa damu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Feleshi, na kwamba uteuzi wa Jaji Ntemi ulitokana na 'connection' ya Feleshi kwa Rais Magufuli.

2. Dkt. Eliezer Feleshi ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mjumbe wa Kamati ya Mawakili. Huyu ndiye Sheria inamtaka apange vikao vya Kamati. Ndiye Mlalamikaji dhidi ya Mwabukusi ndiye alifanya press kufafanua Mkataba wa Bandari kama Mwanasheria Mkuu. Ndiye pia alimsimamisha wakili Fatma Karume kwenye kesi ya ADO SHAIBU v. RAIS MAGUFULI & AG KILANGI wakati huo Dkt. Feleshi akiwa Jaji Kiongozi. Kamawanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa anawajibika kuitetea Serikali na maamuzi yake yote ima fa ima. Ndiye mshauri wa Serikali kwa mambo yote ya mikataba, hata mkataba wa DPW anautetea.

Ndiye alikuwa Mshtakiwa Na.1 kwenye Kesi ya Bandari ambayo wakili Mwabukusi alikuwa anaendesha kule Mbeya. Dkt. Feleshi aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kabla ya uteuzi wake kuwa Jaji.​

3. Dkt. Evaristo Longopa ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Ni Msaidizi wa Dkt. Feleshi na anawajibika kwa Feleshi. Ni Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anawajibika kuitetea Serikali na maamuzi yake Malalamiko wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya wakili Mwabukusi yana kibali na ridhaa yake pia kwa kuzingatia dhana ile ya 'collective responsibility.'

4. Sylvester A. Mwakitalu. Ndiye Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP).
Ni Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania na hivyo anawajibika kwa Rais na Serikali na kuwajibika kuitetea Serikali na maamuzi yake ili kulinda ajira yake.

5. Adv. Victoria B. Mandari.
Ndiye mtu pekee katika Kamati hiyo ambaye hatokani na serikali. Ni Wakili wa Kujitegemea aliyependekezwa na Tanganyika Law Society (TLS) kuwa Mjumbe wa Kamati hii. Anawajibika kulinda na kutetea maslahi ya Mawakili wa Kujitegemea katika mazingira ya mashtaka yao ndani ya Kamati. Kura yake ni moja tu ndani ya Kamati. Yeye hana uwezo wa kubadilisha msimamo kama wajumbe wenzake wakiazimia na kuungana kumnyanyasa wakili yeyote.

6. Faraji R. Ngukah ni Wakili wa Serikali (State Attorney).
Ni mwajiriwa wa Serikali anawajibika na kusimamiwa na Mwanasheria Mkuu Dkt. Feleshi. Mamlaka yake ya nidhamu ni Naibu Mwanasheria Mkuu Dkt. Evaristo Longopa ambaye naye anawajibika kwa Dkt. Feleshi.
Analipwa mshahara wa Serikali kwa kazi ya kuitetea Serikali. Hivyo anawajibika kuitetea Serikali ili kulinda ajira yake. Huyu ndiye Katibu wa Kamati aliyeandika barua kwa Mwabukusi kwa niaba ya Kamati. Kama Katibu, anawajibika kwa Wajumbe wa Kamati ambao 'majority' ni watu wenye mahusiano ya moja kwa moja na Serikali pia.

Ndugu Watanzania!
Kwa muktadha huo na katika mazingira hayo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Feleshi amelalamika kwenye Kamati ya ndugu zake na kisha yeye atatoa ratiba za vikao ili kumjadili wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi kwa tuhuma za Feleshi mwenyewe.

Wakili Mwabukusi aliongea mambo yaliyo na maslahi mapana kwa taifa letu na hivyo hata mashtaka dhidi yake yana maslahi mapana kwa taifa letu. Ni kwa sababu hiyo, sisi Askofu Mwamakula tunalileta kwenu Watanzania ili muamue kama katika mazingira hayo, wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi atapata fair trial au hukumu ya haki.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 1 Agosti 2023; 08:54 mchana.
Samia aliposema yeye na dikteta Magufuli ni kitu kimoja hatukumuelewa, sasa tunaelewa
 
Shekhe wa mkoa wa DSM mstaafu Alhad Salumu alishajibu hili swali na alisema " Yesu bin Mariam ni mwana wa Mungu" yaani Allah

😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
Takbriiii
20230622_164806.jpg
 
Shingo haipiti kichwa
 
Wanataka kufanya kama walivyomfanyia fatma Karume!!
 
Nchi ina vituko kweli ndio tafsiri halisi ya banana republic .

Nimepitia kanzidata ya mawakili ndio naona huyu solicitor general hajahuisha leseni na bango kubwa kuwa haruhusiwi kupractice.

Sasa wangapi wamegundua hilo ? nchi ishawekwa kwapani.

Our judicial system needs a proper overhaul since it's bias , disorgamized and submissive to the executive branch.
AG hatakiwi kuwepo kwenye list kwasababu yy ndie aliyetuhumu/bias
you cannot be a judge in your own case.
 
Huyu wakili mlevi sijui atapata wapi tena pesa za kulewea
Wakili mlevi amehuisha leseni ya uwakili .

Huku wakili mkuu wa serikali hajahuisha lesesi yake yaani anayesimamia sheria hafuati sheria.

Who is fooling who?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza.
Au ndiyo kusoma Mwisho wa uovu ni things to start falling apart?
Ilikuwaje walishindwa kuishawishi ofisi ya Spika ay ya Waziri Mkuu au zote mbili kwa pamoja zitume malalamiko halafu yeye ofisi yake iendelee na cordination ya hiyo kesi, badala yake mlalamikaji yeye, cordinator yeye, shahidi?
Very strange indeed...

Yaani AG kalalamika (katuhumu) yeye, shahidi yeye, msikiliza tuhuma yeye na mtoa hukumu yeye pia..

Hakuna fair trial hapo..!!

Hawa hatuwezi kumalizana nao kwa njia ya mahakama. Hawa ni kupambana nao kwa njia ya makakama ya umma a.k.a people's powers, basi..
 
Km ni Kilekamajenga sitii neno huyo mtu wa haki km kuna haki atatoa haki hanaga kona kona
Hata mimi nina kuunga mkono,jaji kileka majenga,huyu msukuma ni mtu wa haki sana.japo anaweza asisaidie chochote kwenye hili.
 
Ndugu Watanzania!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi katika Kamati ya Mawakili kwa tuhuma za kuwasema Waziri Mkuu, Spika, Waziri Mbarawa na Katibu wake Mkuu, Bunge na Wabunge kuhusiana na suala la Bandari ambapo Mwabukusi alisema pia baadhi ya viongozi hao waachie nafasi zao.

Sisi Askofu Mwamakula tuna hofu kuwa kuna njama za kutaka kumnyang'anya leseni ya uwakili kama ilivyokuwa kwa Fatma Karume. Na kwa sababu hiyo, tuliita taarifa za Wajumbe wa Kamati hiyo na kuletewa maelezo yafuatayo kwa kila Mjumbe:

1. Jaji Ntemi Kilekamejenga. Ni Mwenyekiti wa wa Kamati na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba. Ni Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mtu wa karibu sana au ndugu wa damu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Feleshi, na kwamba uteuzi wa Jaji Ntemi ulitokana na 'connection' ya Feleshi kwa Rais Magufuli.

2. Dkt. Eliezer Feleshi ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mjumbe wa Kamati ya Mawakili. Huyu ndiye Sheria inamtaka apange vikao vya Kamati. Ndiye Mlalamikaji dhidi ya Mwabukusi ndiye alifanya press kufafanua Mkataba wa Bandari kama Mwanasheria Mkuu. Ndiye pia alimsimamisha wakili Fatma Karume kwenye kesi ya ADO SHAIBU v. RAIS MAGUFULI & AG KILANGI wakati huo Dkt. Feleshi akiwa Jaji Kiongozi. Kamawanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa anawajibika kuitetea Serikali na maamuzi yake yote ima fa ima. Ndiye mshauri wa Serikali kwa mambo yote ya mikataba, hata mkataba wa DPW anautetea.

Ndiye alikuwa Mshtakiwa Na.1 kwenye Kesi ya Bandari ambayo wakili Mwabukusi alikuwa anaendesha kule Mbeya. Dkt. Feleshi aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kabla ya uteuzi wake kuwa Jaji.​

3. Dkt. Evaristo Longopa ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Ni Msaidizi wa Dkt. Feleshi na anawajibika kwa Feleshi. Ni Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anawajibika kuitetea Serikali na maamuzi yake Malalamiko wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya wakili Mwabukusi yana kibali na ridhaa yake pia kwa kuzingatia dhana ile ya 'collective responsibility.'

4. Sylvester A. Mwakitalu. Ndiye Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP).
Ni Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania na hivyo anawajibika kwa Rais na Serikali na kuwajibika kuitetea Serikali na maamuzi yake ili kulinda ajira yake.

5. Adv. Victoria B. Mandari.
Ndiye mtu pekee katika Kamati hiyo ambaye hatokani na serikali. Ni Wakili wa Kujitegemea aliyependekezwa na Tanganyika Law Society (TLS) kuwa Mjumbe wa Kamati hii. Anawajibika kulinda na kutetea maslahi ya Mawakili wa Kujitegemea katika mazingira ya mashtaka yao ndani ya Kamati. Kura yake ni moja tu ndani ya Kamati. Yeye hana uwezo wa kubadilisha msimamo kama wajumbe wenzake wakiazimia na kuungana kumnyanyasa wakili yeyote.

6. Faraji R. Ngukah ni Wakili wa Serikali (State Attorney).
Ni mwajiriwa wa Serikali anawajibika na kusimamiwa na Mwanasheria Mkuu Dkt. Feleshi. Mamlaka yake ya nidhamu ni Naibu Mwanasheria Mkuu Dkt. Evaristo Longopa ambaye naye anawajibika kwa Dkt. Feleshi.
Analipwa mshahara wa Serikali kwa kazi ya kuitetea Serikali. Hivyo anawajibika kuitetea Serikali ili kulinda ajira yake. Huyu ndiye Katibu wa Kamati aliyeandika barua kwa Mwabukusi kwa niaba ya Kamati. Kama Katibu, anawajibika kwa Wajumbe wa Kamati ambao 'majority' ni watu wenye mahusiano ya moja kwa moja na Serikali pia.

Ndugu Watanzania!
Kwa muktadha huo na katika mazingira hayo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Feleshi amelalamika kwenye Kamati ya ndugu zake na kisha yeye atatoa ratiba za vikao ili kumjadili wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi kwa tuhuma za Feleshi mwenyewe.

Wakili Mwabukusi aliongea mambo yaliyo na maslahi mapana kwa taifa letu na hivyo hata mashtaka dhidi yake yana maslahi mapana kwa taifa letu. Ni kwa sababu hiyo, sisi Askofu Mwamakula tunalileta kwenu Watanzania ili muamue kama katika mazingira hayo, wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi atapata fair trial au hukumu ya haki.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 1 Agosti 2023; 08:54 mchana.
Amina
 
Back
Top Bottom