Joram Kihango vs Willy Gamba


Jamaa pia alikua na mdada mmoja matata sana anaitwa zabibu ama zamaradi kati ya hayo majina mawili
 
Aristablus Elvis Musiba
Hammie Rajabu
Jackson Eric Kalindimya
Ben Rashid Mtobwa
Eddie ganzel
John Msimbe Simon Simbamwene

Penina Muhando


Hawa watu hakuna wa kufanana nao kabisa
 
Willy Gamba mkuu, Joram ametiwa chumvi mno...yaani uwezo aliopewa si wa binadamu wa kawaida
 
Mtunzi wa Vitabu hivyo (vinavyomhusu Willy Gamba) anaitwa, ARISTABLUS ELVIS MUSIBA

Huyo Elvis Musiba nadhani ni baba yake mzazi na Aristablus, mwenye kuwafahamu vizuri watu hawa naomba atujuze tafzali.
Aristablus Elvis Musiba
Elvis Musiba
Ndiyo mtu huyo huyo mmoja anayezungumziwa.
Nyerere alikuwa akiwatia jambajamba hata waandishi wa riwaya hasa waliyokuwa wakienda kinyume na matakwa yake.
Kina Aristablus Elvis Musiba na Euphrase Kezilahabi
Hawa kuwa salama
 
Hili battle ni sawa na Messi vs Ronaldo. Au Konyagi vs K-vant

Hakutakuwa na mshindi
 
Wakuu..kna story nlkua naisoma ya demu ndo star,inaitwa "MKIMBIZI" enI izo nlkua nanunua gazeti daily kisa hii ktu,ntaoata wapi kitabu chake maana mwishoni sikuimaliza,km nipo sahihi,lile gazeti waliacha kuipost
 
Joram Kiango malaika wa Shetani..lakini wote kwa ujumla Riwaya zao zilikuwa nzuri sana .
Hivi mbona sasa hazipatikani?anayejua zunzuzwa waoi tafadhari tuwasiliane

Zawadi ya ushindi mtunzi alikuwa nani nimesahau?
Mtoto wa Mtobwe Neema bado anauza vitabu hivyo. Andika Neema Mtobwe FB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…