Tafuta riwaya yake nyingine inaitwa mhanga wa ikulu, nayo ni noma sana.Kwa sasa majeshi nimehamishia kwa Hussein Tuwa, Mdunguaji na Mkimbizi ni noma sana
Naomba uniuzie hiyo episode ya 24 naitafuta sana kaka. 0759177102/ musamsangu@yahoo.co.uk au mjanjanaelewax2zaidi@gmail.com , tafadhali kaka tuwasiliane kwa hilo.
walikuwepo ma staring wazuri wengi... Edie Kakhi... Kwenye unyama wa mafia! Na majambazi kama Dr. MOTOWN.. AKA mzungu katili, KABWE MAKANIKA... Aka Jitu kumbuka... Akina jarufu Ram na mzee Helgal ajenti wa MAFIA tanzania... PIA KILIKUWEPO KITABU mbio za jasusi... Nakikumbuka saaaana na staring alikuwa mkali saana! Baadae tukasoma MASHIMO YA MFALME SULEIMAN... tukamuona UMBOPA.. aliefundishwa vita na UMSOLOPOGAAS! NA PIA tukasoma HADITHI YA ALLAN QUATERMAIN.. NIKAMUONA umsolopogaas na shoka lake INKSOKAZ! HAKIKA hivi vitabu vya alan quatermain niliamini ni vya kweli. Na mtunzi aliitwa H. RIDER. HAGARD. ni mwingereza maarufu sana wa karne ya 20!
Hujuma mimi sikusoma maana wakati wam mzee mwinyi kilipigwa marufuku. Waliokisoma walinihadithia kwamba alikuwa anazungumzia madawa ya kulevya na kilikuwa kinamuelekeo wa kuisema serikali tukufu na kwamba willy gamba alikufa akiwa kwenye mission. alitoa na cha kinaitwa nitalipa kisasi kwamba mtoto wa willy gamba ndiye alikuja kulipa kisasi cha baba yake kuuwawa nacho pia kilipigwa marufuku (hizi ni hearsay sina uhakika). Lakini cha mwisho ni RUNGU alikuwa anazungumzia mauaji ya rwanda. Kuna kingine nimesahau jina lakini aliweka platform yake arusha nacho pia kilikuwa kinazungumzia majasusi wa Afrika kusini kuja kuua viongozi wa nchi zilizomstari wa mbele wa ukombozi wa Afrika. aaa nimekikumbuka kinaitwa HOFUNadhani bado nakumbuka kidogo............
Kufa na Kupona-Wizi wa Karatasi za Siri
Njama-Harakati za Ukombozi Kusini mwa Afrika
Kikosi Cha Kisasi-Mtanange ulikuwa pale DRC Kongo
Kikomo-Wizi wa Almas Mwadui
Hujuma-
I stand to be corrected......Hivi Mkuu wapi ntapati vitabu hivi?
Hivi inakuaje mnatutia mshawasha wa hivyo Vitabu alafu msitwanbie vinapatikana wapi au tutavipataje?
Kwa vya Joram Kiango vinaweza kupatikana lakini vya Wiily Gamba sijui sana.Mkuu ulizia library kubwa au kama
Upo dar nenda posta utapata,
Mkuu hakuna mtu wa kumdharau Hussein Tuwa. Yeye hayuko kwenye level ya Shigongo. Ni Mkali sana na kanma umeona kuna comments zinazomkubali. Ukisema nabii hakubaliwi kwao kwani hawa tunaowajadili ni wa wapi? Sema mshawasha wa hawa una mambo mengi sana maana unakumbusha na historia za wakati wetu wa ujima na wakati kila kitu ni analogy!!!!hahahha!! TUWA bado ni kiboko sana kwa kizazi hiki. Shigongo anaandika kitabu kikubwa na anavuta maneno ili kiwe kikubwa na kuna wakati huwa anasahau ameandika nini. Huwezi andika vitabu kwa fujo hivyo ingawa kwa Level za wakina mama wa magazzeti ya udaku anawabamba sana.Tuwa si zama za shigongo? mbona yeye akumbukwi! au ndo nabii akubaliki kwao
walikuwepo ma staring wazuri wengi... Edie Kakhi... Kwenye unyama wa mafia! Na majambazi kama Dr. MOTOWN.. AKA mzungu katili, KABWE MAKANIKA... Aka Jitu kumbuka... Akina jarufu Ram na mzee Helgal ajenti wa MAFIA tanzania... PIA KILIKUWEPO KITABU mbio za jasusi... Nakikumbuka saaaana na staring alikuwa mkali saana! Baadae tukasoma MASHIMO YA MFALME SULEIMAN... tukamuona UMBOPA.. aliefundishwa vita na UMSOLOPOGAAS! NA PIA tukasoma HADITHI YA ALLAN QUATERMAIN.. NIKAMUONA umsolopogaas na shoka lake INKSOKAZ! HAKIKA hivi vitabu vya alan quatermain niliamini ni vya kweli. Na mtunzi aliitwa H. RIDER. HAGARD. ni mwingereza maarufu sana wa karne ya 20!
Tafuta riwaya yake nyingine inaitwa mhanga wa ikulu, nayo ni noma sana.
Tuwa anafuatia baada ya Elvis Musiba na Edwin Semzaba.
Rest in peace my role models Ben R. Mtobwa and his friend E. Musiba...
Rest in peace my role models Ben R. Mtobwa and his friend E. Musiba...
Naenda kuianza leo jioni, na vitabu vyote alivyotaja hapo juu ninavyo naanza kuvisomahapa unapoongea narudia 24hrs kwa mara ya sita!!!!