Joram Kihango vs Willy Gamba

mwenye hivi vitabu tafadhali naomba aniruhusu nitoe kopi waje wasome wanangu
 
Dah! mwenye vitabu hivi;
TUTARUDI NA ROHO ZETU
na LAZIME UFE JORAMU,
anipm tufanye biashara au nielekeze vinapopatikana.
 
Dar-Es-Salaam usiku kitabu hiki kilitungwa na nani
Halafu kulikuwa na kile kitabu kinamhusu panga la shaba, sikumbuki vizuri but panga la shaba alikuwa mganga dada mmoja akaenda kutibiwa akaishia kuwa mke wa panga la shaba na urembo wake. mtunzi wake ni nani jamani


Dah! mwenye vitabu hivi;
TUTARUDI NA ROHO ZETU
na LAZIME UFE JORAMU,
anipm tufanye biashara au nielekeze vinapopatikana.
 
Kwa ss hakuna tena watunzi mahiri km hao nae joram yupo xafi pia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimefurahi kwa hili sana, ajabu nilibahatika kusoma kimoja tu cha Joram Kiango roho ya paka, na sijabahatika tena kupata vitabu vyake, mwenye uelewa wapi nitavipata kwa hapa Dar anielekeze
 
Jamani vitabu hv havipatikanu kwa nn na wamiliki hawajatoa ruhusa ta kyc HD apa kwa nn
Mm nionavyo ukivitoa kwa sasa ni deal sana
Walio karibu na familia hozi watoe ushauri kwa wahusija
 
Nimesoma karibia vitabu hivyo vyote (hasa Willy Gamba) japo kurasa nyingine zilikuwa zimekosekana kwa baadhi ya vitabu hivyo. Swali langu ni hivi naweza kuvipata vitabu vya riwaya toka enzi zile wapi kwa sasa ebay, amazon etc? Navyojua kwa sisi waafrika (watz) kutunza ni vigumu. Naomba msaada.
 
Wauzaji vitabu na magazeti kkoo mbona wanavyo,me niliwahi kusona "Lazima ufe" ya jiram kiango, muda sana
 

Me too I have been looking for this books
 

Kilitungwa na BEN R.MTOBWA kitabu chake cha mwisho ni MALAIKA WA SHETANI.
vitabu vyake bado vipo madukani, mfano nyuma ya pazia..roho ya paka,zawadi yaushindi,mpishi mwenye kibiongo..mwalimu mwenye mikono ya bandia...mwalimu mwenye miwani myeusi n.k
 
Kama Kumbukumbu yangu ni sahihi Simu ya Kifo ni kitabu cha zamani zaidi na kiliandikwa na Hassan Hussein Katalambula kama sikosei na si Hammie Rajab.

Ni kweli kabisa. Ila filamu ya Simu ya Kifo ilisimamiwa na Hammie Rajab na pengine ndiyo movie ya bongo inayoangalika.
 
Tatizo ni kwamba waandishi wetu hawafaidiki kwa kazi zao. No haki miliki, watu wanajikopia na kuuza kazi za watu bila idhaa ya waliochapisha wala watunzi. Afu nadhani Enzi za 70s na 80s ndo palikuwa na waandishi(watunzi) wa riwaya za mafundisho na burudisho na waliokuwa wanatumia kiswahili fasaha wengi kuliko sasa hivi. Kiswahili kinachotumika hivi sasa(ingawaje nipo nje ya nchi miaka mingi) ni fujo tupo
 
Kilitungwa na BEN R.MTOBWA kitabu chake cha mwisho ni MALAIKA WA SHETANI.
vitabu vyake bado vipo madukani, mfano nyuma ya pazia..roho ya paka,zawadi yaushindi,mpishi mwenye kibiongo..mwalimu mwenye mikono ya bandia...mwalimu mwenye miwani myeusi n.k

Nop mkuu, kitabu cha mwisho kilichowafikia wasomaji wake ni MTAMBO WA MAUTI... baada ya hicho kuna MIKATABA YA KISHETANI (hiki hakijatoka bado).
 
Nimefurahi kwa hili sana, ajabu nilibahatika kusoma kimoja tu cha Joram Kiango roho ya paka, na sijabahatika tena kupata vitabu vyake, mwenye uelewa wapi nitavipata kwa hapa Dar anielekeze

Kwa hapa Dar vimekua adimu sana mkuu, ila baadae vitarudi....
 
je ni wapi naweza kupata vitabu vya gwiji Msiba!
 
joram mikononi mwa nunda

kiukweli vitabu hivyo nilivisoma nikiwa STD 5-7 na nikiwa O-level. haviwekeki chini. nikikumbuka vitabu hivyo, natamani kurudisha muda nyuma

watunzi waliotangulia mbele za haki wapumzike kwa amani!
Mkuu naweza kupata wapi hiki kitabu? Hivi ni "Mikononi mwa Nunda au Nunda Mla watu? Nakumbuka pia nilisoma nikiwa darasa la 5
 


dah mi nilikipenda sana "​tutarudi na roho zetu"
 
Halafu tunashindwa kutengeneza filamu kwa kutumia vitabu hivi. hivi vitabu ni sawa na vitabu james bond ambavyo viliandikwa enzi hizo lakini movie zinatengenezwa hadi leo. hebu tuhamasishe tasnia na watengeza filamu wahamie kwenye hivi vitabu tukuze tasnia ya filamu tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…