PreGE2025 Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.

"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe uaminifu kusudi aendeleze kazi iliyoanzishwa na wazee wetu kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
 
"Kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
 
Ndio basi tena, ameishaanza kulishwa mboga za majani kutoka shamba la CCM....Sidhani kama atabakia kuwa na uzalendo aliouonyesha kwenye ulumbi kila pahala. 🤔
 
Kwanini unataka umchagulie upande wa siasa? Je wewe mtu akikupangia utakubali? Hiyo ni haki yake ya kikatiba kila mtu aachwe na uhuru wake
 
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.

"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe uaminifu kusudi aendeleze kazi iliyoanzishwa na wazee wetu kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
View attachment 3296811
Ametumia vizuri nafasi aliyopewa we ulitakaje? Kinachowasumbua ni wivu, husda na njaa
 
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.

"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe uaminifu kusudi aendeleze kazi iliyoanzishwa na wazee wetu kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
View attachment 3296811
Huyo ni makamu wa Rais mtarajiwa ametumia nafasi vizuri we hangaika na nyumbu wenzio na yule kibaraka wenu
 
"Kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
Inamaanisha jamii isiokuwa na matatizo ya aina yoyote katika nyanja zote za kimaisha.
 
Kwanini unataka umchagulie upande wa siasa? Je wewe mtu akikupangia utakubali? Hiyo ni haki yake ya kikatiba kila mtu aachwe na uhuru wake
Hawa chadema ndo maana Mungu anawalaani, ni mibafuzi hii balaa.....ndo maana nikasema ikitokea hii ikashika madaraka basi moto unawaka ndani ya dakika.
 
Fikra zenye uketo.
Fikra Tunduizi zimeenda Jongomeo huku akipata Mboze na Mbize kwa teo moja.

Sasa ana anaibananga ulumbi.

Huoni kafanan na Mwigulu ?
 
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.

"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe uaminifu kusudi aendeleze kazi iliyoanzishwa na wazee wetu kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
View attachment 3296811
Kwani ni lini aliacha kuwa nyinyiem? Huyo ni miongoni mwa wanyaturu wajinga sampuli ya suphian nkuwi
 
Back
Top Bottom