The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ametumia vizuri nafasi aliyopewa we ulitakaje? Kinachowasumbua ni wivu, husda na njaaWakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.
"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe uaminifu kusudi aendeleze kazi iliyoanzishwa na wazee wetu kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
View attachment 3296811
Huyo ni makamu wa Rais mtarajiwa ametumia nafasi vizuri we hangaika na nyumbu wenzio na yule kibaraka wenuWakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.
"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe uaminifu kusudi aendeleze kazi iliyoanzishwa na wazee wetu kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
View attachment 3296811
We ni nini? We utakuwa kinyesi cha mbwa kokoHuyo ni takataka amboyo sijawahi muelewa ni mtu kariba H.Polepole
Inamaanisha jamii isiokuwa na matatizo ya aina yoyote katika nyanja zote za kimaisha."Kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
Hawa chadema ndo maana Mungu anawalaani, ni mibafuzi hii balaa.....ndo maana nikasema ikitokea hii ikashika madaraka basi moto unawaka ndani ya dakika.Kwanini unataka umchagulie upande wa siasa? Je wewe mtu akikupangia utakubali? Hiyo ni haki yake ya kikatiba kila mtu aachwe na uhuru wake
Hata mimi nimesangaa badala ya kushangaa"Kutuingiza katika utopia, katika Tanzania iliyo bora zaidi"
Kwani ni lini aliacha kuwa nyinyiem? Huyo ni miongoni mwa wanyaturu wajinga sampuli ya suphian nkuwiWakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.