Jordan lecturer aleta majanga kwa mwaka wa tatu$#!!!

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Habari zilizopo katika chuo hiki baada ya kutoka kwenye pirika za Noel na new year ni lecturer wa sociology mr.Edmound kudai ameibiwa laptop hivyo turidie test.Sasa cha kijiuliza ni je na scripts zimeibwa make hata hizo alikuwa hajazigawa kwa wahusika.Wanachuo tuwe na msimamo.Nawasilisha!!!
 

hivi jordan ni chuo cha chekechea au elimu ya msingi? Maana hata shule za sekondari wanajua kuandiaka! Aibu sana kwa mwanachuo kutojua kuandika na hata kutunga sentensi zinazoeleweka
 
Wasomi wetu hawa dah! Hehe kwaio unataka uungane na wenzako kugoma kupewa test! Hahahahaha! Ni adhabu test kumbe? Hahaha!
 
Huyu mkenya sifa ndo zitamuua hapatani na staf nzima kaziyake umbea kila asubuhi lazima aende kwa princpal kuchongea wenzake.
 
Huyu mkenya sifa ndo zitamuua hapatani na staf nzima kaziyake umbea kila asubuhi lazima aende kwa princpal kuchongea wenzake.

Hapatani na staff nzima??
Kwa watanzania mtu akiwa mchapa kazi, Mtiifu kazini, mbunifu na competent basi lazima apigwe vita sana.

Watanzania uvivu, uzembe, kupika majungu na wivu ndivyo vinavyotusumbua.

ukute tu wanaona mwenzao si mvivu basi tabu ndo shid zote hizi!

na nyie madent hapo mmefuata kusoma hamkwenda kusuluhisha migogoro ya walimu habari ya lecturer hapatani na staff hizo si issue zenu unless kama tatizo hilo linaathiri taaluma.
 
Bongo kila kitu ubabaishaji halafu tunategemea maajabu kweli sasa hapo ugumu uko wapi wakati kaibiwa laptop lakini bado anaweza kutoa matokeo kwa kuwa karatasi mlizofanyia hajawarudishia. Anataka nini ama ana cha zaidi ya hapo?
 
Huyo nae kawakosea, kwanini asingekuja darasani akasema "Jiandaeni next week kutakua na test"
 
Naona unataka uonekane nawe unasoma chuo kijana..shiit. MBNA kuna vingi vya kuandika.sasa kama ameibiwa cc ndo tunamjua mwiz au,,?
 
poleni sana nakubaliana kabisa na kennedy, jaribuni kuongea na waziri wenu wa elimu aongee na huyo Mhadhiri Ili Arekod Upya Kupitia Karatas Zenu Alizonazo. Watanzania Tuache Tabia Ya Kudharau Vyuo, Chuo Kikishatambuliwa Na TCU huwez kukiita cha mchangani. na vyuo hvi tunavyovidharau utakuta ndo vyuo vinavyofanya vizuri kitaaluma kuliko hata hvyo unavyoviona ni bora. miaka ya nyuma shule bnafsi(private schools) zilikuwa zinadharauliwa sana hebu angalia leo hii, ndzo zinazoongoza kitaaluma. ikiwa Ndo hvyo je waliosoma vyuo kama vile HAVARD Wasemeje??
 
hivi jordan ni chuo cha chekechea au elimu ya msingi? Maana hata shule za sekondari wanajua kuandiaka! Aibu sana kwa mwanachuo kutojua kuandika na hata kutunga sentensi zinazoeleweka

Usidharau watu! Ni vyema ungemwelimisha maana ndio dhumuni la jukwaa hili. Mbona na wewe hujui matumizi ya nukta wala herufi ndogo na kubwa? Je na wewe hujui kuandika wala kutunga sentensi? Jirekebishe.
 
heheheheee huyo anataka kupima IQ yenu na mkikubali atawaona mabwege hata hamkustahili kuwa hapo mlipo:fencing::fencing:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…