Jordan Rugimbana alimkosea nini Hayati Magufuli?

Mission yake ya kuliwa na funza ilienda vizuri
 
Mbona list ya watumbuliwa tangu Enzi za Mwalimu ni wengi sana? Kwanini huyu ndio awe gumzo?
 
Ndugu wawili baba yao akiwa gereza la Luanda Mbeya 60's wakaja Dar.
 
Jikono Jandama alikuwa katili sana.
Lile dude ilikuwa shida ya dunia tukio la Lissu lilinifanya nijue kikamilifu kuwa Mungu ana nguvu kuliko shetani kwani kila mtu bila kujali dini wala rangi aliomba kwa lugha yake ili Lissu apone ukimuondoa KAYAFA a.k.a Jiwe.
 
Una uhakika na unachoandika?

..nina uhakika 100%.

..Doe Mwanyika alikuwa Barrick/Acacia.

..Johnson Mwanyika alitumikia serikalini muda mrefu nafasi ya mwisho alikuwa Mwanasheria Mkuu.

..na hawahusiani kindugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…