Jordan university morogoro yakiuka mkataba wa helsb

Jordan university morogoro yakiuka mkataba wa helsb

kabhakulu.com

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Yahusu pesa ya Special Faculty kwa mwaka wa pili na mwaka wa tatu. Inakuwaje pesa imeletwa chuoni tokea mwaka jana mwezi wa sita hadi sasa pesa ipo mikononi mwao. Na mwaka jana wakati wanafunzi hao wanaenda field hawakupewa pesa ya kununulia vifaa ilwabidi wanafunzi hao watumie pesa zao. Iweje leo hii waambiwe ni lazima wanafunzi hao wanunuliwe vifaa hivyo wakati field washamaliza? Mfano; Mwanafunzi wa mwaka wa tatu vifaa hivyo atavipeleka wapi wakati ndo anamaliza na keshi hawataki kutoa. Ndo wanafunzi wanajiuliza pesa hiyo muda wote huo ilikuwa inafanya nini au ndo fixed account ilichukua mkondo wake. Wafanyieni replacement kwa pesa walioitumia waafunzi hao.
 
Back
Top Bottom