ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hasara ya kuwa msaliti na kibaraka,mlengwa hakuna aliyeuwawa ila kiherehereJordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa
Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa Jana.
Source: royal intelligence-twitter (x)
View: https://twitter.com/GlobeEyeNews/status/1779480662011195708?t=jQznbfIXeXQmhD6pHLgDYA&s=19