ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hasara ya kuwa msaliti na kibaraka,mlengwa hakuna aliyeuwawa ila kiherehereJordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa
Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa Jana.
Source: royal intelligence-twitter (x)
Uislamu ulianzishwa na Vatican katika azimio la Nikea miaka 300 baada ya kuanzisha Roman Catholic.Pole sana ndugu yangu, na siyo wajinga tu na ni wapumbavu pia...waarabu ukitafakari vizuri hawajawahi kujitegemea kikamilifu kila kitu walicho nacho lazima kitegemee nguvu ya wazungu. Hata dini yao pendwa kuna vitu wamekopi na wanalazimisha rejea kutoka ktk dini ya wazungu!
Tatizo ndipo lilipoanzia.
Vijana mnashida sana, huo unaouita usaliti ni upo? Kwani kuna Makubaliano yoyote kati ya Iran na Jordan? Au hujui kuwa Israel ina faida zaidi kwa Jordan kuliko Israel? Au hujui kuwa HAMAS ambao wapo supported na Iran wamekuwa wakishirikiana na kundi la Muslim Brotherhood la nchini Jordan kuandaa matukio kadhaa ya kuiyumbisha serikali? Hata hilo kundi la Muslim Brotherhood pia lipo supported na Iran?.Hasara ya kuwa msaliti na kibaraka,mlengwa hakuna aliyeuwawa ila kiherehere
View: https://twitter.com/GlobeEyeNews/status/1779480662011195708?t=jQznbfIXeXQmhD6pHLgDYA&s=19
Inasikitisha sanaSiku zote wanaodhurika ni innocent people.
Ayatollah yeye anakula zake tende na haruwa Tu Saa hizi
Wakati Vatican inacreat islamic waliprogram mpaka level za akili Kwa watakaofollow islamic.Mkiambiwa mtaje targets zilizokuwa hitted mnalalamika kuwa mnaonewa na kwa nini mkiongea hamuaminiki, mkiombwa picha mnaenda kuleta picha za Syria, Ukraine na za kwenye movies.
Sana kama King of tomato wa JordanWaraabu wajinga sana kwa kuwa vibaraka wa wamarekani na kusaliti wenzao.
Huyo atakuwa lishangaziAliyekwambia limeishiwa nguvu nani? Hivi wewe ni wakike au kiume?
Ulikuwa usingizini siku ya tukio maana Kila media hata hapa jf members walikuwa live.Mkiambiwa mtaje targets zilizokuwa hitted mnalalamika kuwa mnaonewa na kwa nini mkiongea hamuaminiki, mkiombwa picha mnaenda kuleta picha za Syria, Ukraine na za kwenye movies.
akili zako zimejaa ushetani , ulitaka waangalie makombora yakipita tu bila kuchukua hatua ? wangeaminije kama hayalengi kwao ?Safi jambo jema Jordan imejialika yenyewe kwenye vita
🤣🤣🤣🤣 Unaumia sana ukiona mashoga 🌈 wenzako wakipigwa makombora ya vinyeoakili zako zimejaa ushetani , ulitaka waangalie makombora yakipita tu bila kuchukua hatua ? wangeaminije kama hayalengi kwao ?
Sasa hapo mdiyo ume comment nini? Kwani lazima wote wajue kuwa wewe mi Poyoyo?Ulikuwa usingizini siku ya tukio maana Kila media hata hapa jf members walikuwa live.
Israel wenyewe wanasema 99% intercepted kumaniisha 1% inayobaki ilifika sehemu husika. Hili suala sio la simba na Yanga kwamba Kila mtu analijua. Tuwe watulivu tujifunze sote
Huwezi elewa.Sasa hapo mdiyo ume comment nini? Kwani lazima wote wajue kuwa wewe mi Poyoyo?