Jorginho "The Pass Master", fundi asiyeimbwa

Huyu si ndo Chelsea walikuwa wanasema mtoto wa Sarri anabebwa kaanza lini kuwa pass master? maana huku kwetu kibanda umiza watu walikuwa wanamlilia kocha amtoe utadhani anawaskia... hapa ndo nazidi kuuamini ule msemo wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
 
Ni moja ya watu wanaojua... Mwengine ambae pia ni pass master asieimbwa ni Cecs Fabregas yule jamaa anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…