Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli.
Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:-
Bofya hapa chini kutazama.
Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:-
Bofya hapa chini kutazama.