Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Mar 23, 2021 #1 Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda ๐บ๐ฌ @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda ๐บ๐ฌ @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
Moo Click JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,495 Reaction score 3,236 Mar 23, 2021 #2 Naskia kamilioni sku izi kamekua kalaki.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Mar 23, 2021 Thread starter #3 Moo Click said: Naskia kamilioni sku izi kamekua kalaki. Click to expand... Aisee!
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Mar 23, 2021 #4 Watu wa Uganda wanasikitika kwanini hakufa Museveni!