Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ndugu wala usijidanganye NA hioo benchNiliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote , hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha , bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge .
Hill dili woote wakopamoja NA ndio maana wachezaji wakwanza walioletwa waliletwa wakiwa chini ya wakala.mmoja dili zisiteseke...hapo kaona dogoo kiwango kimeshuka wakamwita awekwe benchi kuhusu kupigwa anajua fika NA ameshiriki