Ndugu wala usijidanganye NA hioo benchNiliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote , hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha , bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge .
Hata kwa Sanchez amepigwaNiliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote , hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha , bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge .
[emoji23][emoji28][emoji23]Hakuna haja ya kunirushia risasi jamani , huu ni msimamo wangu kwa kadiri ninavyoona , nikisaidiwa na Morinho .
[emoji122][emoji122][emoji122]kwa huo uchambuzi hapo juu! Naheshimu mawazo yake!
Tutaendelea kufichua siri zao hapahapa jf[emoji23][emoji28][emoji23]
Hawana tofauti sana .Pogba na Ndemla, namchagua Ndemla.
pointTatizo sio bei ya Pogba bali ni namna Mournho anavyoweza kukaa na wachezaji wazuri tuneona mfano wa matta,Salah na Debryne wote alikuwa nao chelsea lakini walishindwa kutamba lakini leo hii wanamuumbua
Ha! Ha! Ha!point
kwani pogba amenunulia kwa pesa yake ya mfukoni?
anapaki kibasi hata kwenye press
mbinu yake ya ufundishaji ni ya kizamani watu hatutaki maneno tunataka mpira
arsenal mnawashwa sana na man u timu yenu inawashindaHa! Ha! Ha!
Angalia pia alivyopigwa kwa Sanchez. Jamaa mpira sasa unagoma akipewa mpira wanamnyang'anya ile mipira juhudi zote kumbe Arsenal style yao ilikuwa inamwinua anaonekana bonge la mchezaji. Ona Miki tayari style ya Arsenal inavyompaisha. Juzi niliona Sanchez kila akipewa mpira haendi kokote ametolewa na kuingizwa kinda Rashford mpira ukafufukaPogba ni mchezaji mzuri lakini ile bei yake siamini kama alistahili
FTAngalia pia alivyopigwa kwa Sanchez. Jamaa mpira sasa unagoma akipewa mpira wanamnyang'anya ile mipira juhudi zote kumbe Arsenal style yao ilikuwa inamwinua anaonekana bonge la mchezaji. Ona Miki tayari style ya Arsenal inavyompaisha. Juzi niliona Sanchez kila akipewa mpira haendi kokote ametolewa na kuingizwa kinda Rashford mpira ukafufuka