Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Watu wamemkalia kooni Jose Mourinho kiasi ambacho imebidi afanye deactivation ya akaunti yake ya Instagram! Usifanye mchezo kuvumilia mapovu ya mashabiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anastahili kukaliwa kooni. Si kwa mbinu mbovu kama zile. Alaf pia anaua wachezaji kisaikolojia. Cheki mchezaj kama martial amekuwawa hovyo wkt ana kipaji kizur tu.Jana amezengua kwakweli
conte katumia mbinu ya morinyo kumfunga morinyo.....edoAnastahili kukaliwa kooni. Si kwa mbinu mbovu kama zile. Alaf pia anaua wachezaji kisaikolojia. Cheki mchezaj kama martial amekuwawa hovyo wkt ana kipaji kizur tu.