JOSE MOURINHO AKIMBIA INSTAGRAM

JOSE MOURINHO AKIMBIA INSTAGRAM

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Watu wamemkalia kooni Jose Mourinho kiasi ambacho imebidi afanye deactivation ya akaunti yake ya Instagram! Usifanye mchezo kuvumilia mapovu ya mashabiki.

FB_IMG_1526816705473.jpg
 
Anastahili kukaliwa kooni. Si kwa mbinu mbovu kama zile. Alaf pia anaua wachezaji kisaikolojia. Cheki mchezaj kama martial amekuwawa hovyo wkt ana kipaji kizur tu.
conte katumia mbinu ya morinyo kumfunga morinyo.....edo
 
Mourihno atimuliwe mapema. Hana sifa ya kuwa manager wa Man U.
Aina ya mfumo wake ataua vipaji vya Marcus, Lingard na Martial. Ni aibu Man U kupaki bus kila wakati akitegemea punda mmoja kama Drogba afanye kazi peke yake pale mbele.
 
Jana timu zote jersey ya red wametia aibu. Simba man utd na bayern hahahgagaga

Man utd hawana wachezaji bwana hapo man wafungue mifuko wanunue wachezaji.
 
Back
Top Bottom