Jose Mourinho atoa maoni yake kuhusu matumizi ya VAR AFCON

Jose Mourinho atoa maoni yake kuhusu matumizi ya VAR AFCON

Haya niliyasema juzi ila tatizo maneno yangu mnayachukulia poa. Mpaka msikie siku nimepewa matuzo huko na nimealikwa kwenye meza za wakubwa ndiyo mtaanza kunishobokea.
 
Tabia halisi ya Mtanzania, sikulaumu..
Sio swala la utanzania. Kawaida unapoelezea jambo la aina yoyote ambalo source of original informations sio wewe, basi mwisho wa taarifa yako inabidi uweke reference kwa ajili ya wale watakaoipitia.

Sijajua ni wapi ambapo Mimi na wewe hatuelewani mkuu, kiasi kwamba uone mleta taarifa yupo sahihi and I'm wrong.
 
Marefa wa Afcon wamejitahidi kiasi fulani
Achana na yule aliyechezesha mechi yetu na Morroco

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zako ulifikiri Tanzania angeweza kuifunga Morocco..!! Msimuonee refa wa watu bwana, Tanzania na mpira wapi na wapi, wao wakimbizane na mwenge tu na kumwagia Mama sifa ambazo hana.
 
Punguza ujinga tumia hiyo link kusoma hiyo taarifa.

Watiizii ujuaji mwiiingiiii!
Muone huyu fala sasa. Hivi umeangalia Convo ilipoanzia au unapoidakia ndio hapo hapo unaonesha ujinga wako?

Nilimuuliza source yule aliyeleta habari kwa mara ya kwanza. Haya nenda kaangalie kama aliweka source yoyote zaidi ya copy n paste.

Hiyo comment uliyoquote wewe, huyo alikuwa anajibu comment yangu ya kwanza ambayo kimantiki ilikuwa sahihi maana by then hapakuwa na link yoyote.

Sasa wewe mbulula umekurupuka huko ulikotoka unashadadia vitu usivyovielewa.
 
Back
Top Bottom