Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hapo juu ni swali na jibu.
De brunyne aliuzwa na Mou
Wachezaji hao hao akipewa Gurdiola baada ya msimu atakuwa na vikombe vingi sana kwa kabati
Kwangu Mimi Jose zilipendwa
Alitakiwa kuwa Man u miaka 9 ilopita
Etoo aliuzwa na nani na akasajiliwa na Nani? Hakutoka Barca ya pep na kwenda inter ya Mou? na Etoo huyo huyo akakutana na Barcelona akawatoa nusu fainali?
je kwa logic yenu Pep alikuwa kaishiwa na mbinu za miaka 9 iliopita?
kila kocha na mifumo yake usilazimishe kocha atumie wachezaji unaowataka wewe hali ya kuwa hawafit mfumo wake.
Na kila kocha anauza wachezaji ambao ni wazuri. Fergie alimuuza Beckham, Nistelrooy, Ince, Ronaldo, Stam etc je fergie nae alikuwa mbovu?