Jose Mourinho: Mtu mwenye akili zake anaielewa hali ya Manchester United

Hapo juu ni swali na jibu.
De brunyne aliuzwa na Mou
Wachezaji hao hao akipewa Gurdiola baada ya msimu atakuwa na vikombe vingi sana kwa kabati
Kwangu Mimi Jose zilipendwa
Alitakiwa kuwa Man u miaka 9 ilopita

Etoo aliuzwa na nani na akasajiliwa na Nani? Hakutoka Barca ya pep na kwenda inter ya Mou? na Etoo huyo huyo akakutana na Barcelona akawatoa nusu fainali?

je kwa logic yenu Pep alikuwa kaishiwa na mbinu za miaka 9 iliopita?

kila kocha na mifumo yake usilazimishe kocha atumie wachezaji unaowataka wewe hali ya kuwa hawafit mfumo wake.

Na kila kocha anauza wachezaji ambao ni wazuri. Fergie alimuuza Beckham, Nistelrooy, Ince, Ronaldo, Stam etc je fergie nae alikuwa mbovu?
 
Mi namuelewa sana mou man aliyoikuta tofauti na sasa enzi ya moyes swansea anaweka record mtaa wa 6 tunawekeza hakuna kikombe chochote tatizo letu tunataka kushinda tu hii timu ndo kwanza inajengwa ni muda tu tofauti na wale ambao toka timu zao zimeanzishwa hawajawahi kubeba UCL au Europa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…