Jose Mourinho: Mwanadamu anaishi mara moja tu

Alimuita Wenger "specialist in failure", asijue mzee alikuwa na average players. Basi Mou nae atumie hao average players tuone uwezo wake kwenye soka bila top notch.

Yalimshinda Real Madrid baada ya uwezo mkubwa waliokuwa nao Barcelona, akaondoka bila CL title, leo yupo MANU naamini hata ligi tu itakuwa mtihani mkubwa kwake.
 
Pole sana jamaa.. ukiwa unaongea uwe na kumbukumbu!! José ana uefa ngapi na labda tuseme pep Ana ngapi?? usidhani ni kazi rahisi kufundisha ile team.. inabadilika slow sana...
 
Kweli kabisa alikuwa anaongea dharau sana kwa Wenger,zamu sasa imefika baada ya hapo itakuja ya Pep.
 
Pole sana jamaa.. ukiwa unaongea uwe na kumbukumbu!! José ana uefa ngapi na labda tuseme pep Ana ngapi?? usidhani ni kazi rahisi kufundisha ile team.. inabadilika slow sana...

Kumbe mnajua sio kazi rahisi, mkumbushe kuwa alivyomsema mzee Wenger alisahau kuwa nae atavuka mto.

Actually uwezo wa Mourinho unashuka rapidly.
 
Pep angepewa timu kama Arsenal na sera zao angeonekana wa hovyo zaidi
 

Aliporudi Chelsea baadae akapoteza dressing room na ile dressing room ilikuwa chini ya John Terry.

John Terry akapeleka kesi kwa Abramovich na Mourinho akafukuzwa na malipo yote juu.

Sssa yupo Man Utd anaishapoteza dressing room ambayo imegawanyika. Kuna wachezaji ambao wanasikiliza maelekezo yake na kuna wale wasokubali kufuata maelekezo na kocha ambae anawazodoazodoa.

Bado Mourinho ana nafasi ya kuwa Pep Guadiola ambae ana uwezo wa kumfundisha na kuwatawala (man management) mchezaji jinsi ya kucheza mpira na akafuata na mifano ni mtu kama na Fabian Dephi ambae ametokea kuwa mchezaji wa kawaida na kuwa mchezaji mahiri.

Maourinho anapaswa kutumia utawala wake kwa wachezaji kama jinsi mzee Alex Ferguson alivyoweza kuwadhibiti wachezaji matajiri kama Bavid Beckam na Cristiano Ronaldo.

David beckam aliwahi kukung'utwa na kiatu cha mpira alichorushiwa na mzee Ferguson alipomletea za kuleta na mambo yakaishia dressing room, ingawa baadae taarifa zilitoka nje.

Sasa Mourinho ana mchezaji kama Paul Pogba, Romelu Lukaku ambao ni wana fainali na nusu fainali za kombe la dunia halafu leo hii wanacheza kwasakwasa badala ya mpira!
 

kweli bro pogba toka achukue wc anajiona bonge l star yaani
 

Mourinho zama zake ziliishia Inter, Madrid alikuwa na kikosi hajachukua UEFA.

Mimi naomba muendelee naye ili wapinzani tuendelee kuwacheka.
 
NIMESOMA WEE ILA NIMEGUNDUA KUNA UBAGUZI MWINGIIII KWENYE HII UZI,INA MAANA KAANGUSHWA NA WATU WEUSI SIO.
 
NIMESOMA WEE ILA NIMEGUNDUA KUNA UBAGUZI MWINGIIII KWENYE HII UZI,INA MAANA KAANGUSHWA NA WATU WEUSI SIO.
haha mkuu sijasema Kuwa weusi hawawezi ila soka kiujumla limebadilika... Leo mpira umekuwa mlaini sana... alidhani atapata kariba ya kina drogba... ila sasa hawapo... sasa hivi ozil anamkaba hellela....
 
haha mkuu sijasema Kuwa weusi hawawezi ila soka kiujumla limebadilika... Leo mpira umekuwa mlaini sana... alidhani atapata kariba ya kina drogba... ila sasa hawapo... sasa hivi ozil anamkaba hellela....
sasa nimeelewa unamaanisha atoke kwenye soka la kibabe aelee kwenye soka ya kike kike na akili mingi,ila bado naamini ni bonge la kocha.ila kingine wazungu ni wanafiki sana nimegundua.kuna mchezo unaenea sana siku hizi wachezaji au uongozi ukikuchukia wanawatumia kukuharibia matokeo.Tuliyaona hata leicester city.
 
haswa waingereza ni wanafki sana mkuu.. mourinho wanamponda sana ila muda utasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…