Jose Mourinho: Mwanadamu anaishi mara moja tu

Sapoti ipi unaizungumzia?
 
Fafanua basi
Ukisema sapoti inajumuisha pesa ya usajili, ushirikiano kuanzia wachezaji,benchi la ufundi.. yaani team nzima inampa sapoti na bado anashindwa..
 
Ukisema sapoti inajumuisha pesa ya usajili, ushirikiano kuanzia wachezaji,benchi la ufundi.. yaani team nzima inampa sapoti na bado anashindwa..
Je Mourinho hakupewa fungu la usajili toka afike?

Wachezaji aliowasajili toka afike ni yupi ameleta impact kwenye timu?
 
Je Mourinho hakupewa fungu la usajili toka afike?

Wachezaji aliowasajili toka afike ni yupi ameleta impact kwenye timu?
na je kasajili wangapi??? Na bei je???.... Ni pogba na Sánchez tuu ndo wanakula hela nzuri ila hawa wengine.... nenda man City sasa!!.. nadhani umeelewa
 
Morinho ana kauli mbovu sana lazima agombane tu na wachezaji,nilikuwa naangalia akihojiwa fox,aliulizwa swali ndogo tu kuhusu mfumo wake wa uchezaji,akamjibu mwandishi "don't ask me boating questions you can go to google ".

Sasa kama mwandishi ambaye hawakai pamoja je wachezaji anaokaa nao huwa anawajibu vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…