Jose Mourinho: Mwanadamu anaishi mara moja tu

Jose Mourinho: Mwanadamu anaishi mara moja tu

Niwakumbushe pia. Kwenye hili sakata la Mou hata Pep Guardiola amekiri kuwa yeye si kocha bora (Pep) bali ana bahati ya kwenda kwenye clubs zinazompa sapoti. Akaendelea kusema hata huko kwingine kuna makocha bora sana ila tu hawapo kwenye clubs wanazoweza kuwapa sapoti wanayohitaji. La, wangepata sapoti hata wao wangekuwa na mafanikio makubwa zaidi. Huyu ni Pep Guardiola
Sapoti ipi unaizungumzia?
 
Ukisema sapoti inajumuisha pesa ya usajili, ushirikiano kuanzia wachezaji,benchi la ufundi.. yaani team nzima inampa sapoti na bado anashindwa..
Je Mourinho hakupewa fungu la usajili toka afike?

Wachezaji aliowasajili toka afike ni yupi ameleta impact kwenye timu?
 
Je Mourinho hakupewa fungu la usajili toka afike?

Wachezaji aliowasajili toka afike ni yupi ameleta impact kwenye timu?
na je kasajili wangapi??? Na bei je???.... Ni pogba na Sánchez tuu ndo wanakula hela nzuri ila hawa wengine.... nenda man City sasa!!.. nadhani umeelewa
 
Morinho ana kauli mbovu sana lazima agombane tu na wachezaji,nilikuwa naangalia akihojiwa fox,aliulizwa swali ndogo tu kuhusu mfumo wake wa uchezaji,akamjibu mwandishi "don't ask me boating questions you can go to google ".

Sasa kama mwandishi ambaye hawakai pamoja je wachezaji anaokaa nao huwa anawajibu vipi.
 
Kapindue meza
Man%20u.jpeg
 
Back
Top Bottom