Hip hop hapa ni kwao[emoji23]Baby we na hipo hop wapi ?
Ngwair ALIKUWA anatishaHata kama,je ngwea na j Moe nani mkali
Uweeee Ngwair noma kijana,hata wakat ule wao,kipindi hicho wanavuma,Ngwair alikua juu kwa MoKwa vile amefariki unamwona best,ika kafunikwa na j mo
Ulishawahi sikia interview yoyote ya Mo tech kuhusu Albert Mangwair!?..Nikuulize swali,j Mo na ngwea nani mkali
Ana kitu special ila kwa Moe ana pwaya sana, kuanzia depth ya mashairi, flow, versatility, mchango kwenye game na kila kitu.Wengi mnamkubali mchopanga ila Jose naye ana kitu special na flow ya kivyake
NgweaHata kama,je ngwea na j Moe nani mkali
Siku hizi watu hawapambani kutetea hip hop wanapambana kutetea maisha.Mkuu upo right ,Jay Mo kashabadilika
usifananishe ngwear na upuuzi haiseeHata kama,je ngwea na j Moe nani mkali
boss sihungi mkono hoja.haha Jose Ana Rap jay moe anasoma secondary..dahhMmmh em acha kumfananisha Jay mo na mambo ya ajabu