Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

jose mtambo
toka kigambooo nino.
achana kabisa na hicho kichwa.
SHUT UP.
unakula kula kila sekunde utadhani kuku.
haufai wa kichinaa.
sikia ngoma ukate rohoo.
SALUTE MTAMBO.
 
Wengi mnamkubali mchopanga ila Jose naye ana kitu special na flow ya kivyake
Ana kitu special ila kwa Moe ana pwaya sana, kuanzia depth ya mashairi, flow, versatility, mchango kwenye game na kila kitu.
 
Mkuu upo right ,Jay Mo kashabadilika
Siku hizi watu hawapambani kutetea hip hop wanapambana kutetea maisha.
Maana wakikomaa sana na kukaza wakakosa ela hakuna anayewasaidia mvumilie tu anatafuta ulaji
 
Boy Kila mtu na ufundi wake,ambavyo Anavyo Jos,Moe Hana,ambavyo anavyo Moe,Jos Hana..mimi bana wote hao nawapa 50/50.. Wanaombeza Jos hah hawaijui Kizaazaa,Nothing.,iam Old school..,Tumejipanga..me bana Jose Mtambo Nina nyimbo zake hadi za mwaka 1998..bila kusahau DARASA HURU
 
Back
Top Bottom