Huhu mo ni mkali namkubali vibaya na ngoma yake ya Ingekua vipi enzi izo,huyo Jose labda kwa vile sijamsikia sikia sana,ila Mo ni habari nyingine etiboss sihungi mkono hoja.haha Jose Ana Rap jay moe anasoma secondary..dahh
Moe na Jose mtambo kama tupac na BIG..jay Moe Tupac,Jose BIG..jose hamumjui vizuri.haha we umesahau alichofanya kwenye nyimbo ya Mr Paul ice cream??hahHuhu mo ni mkali namkubali vibaya na ngoma yake ya Ingekua vipi enzi izo,huyo Jose labda kwa vile sijamsikia sikia sana,ila Mo ni habari nyingine eti
Hahaha halaf hiyo nyimbo naipenda balaa,ile sauti ya mr paul ni hatari.Moe na Jose mtambo kama tupac na BIG..jay Moe Tupac,Jose BIG..jose hamumjui vizuri.haha we umesahau alichofanya kwenye nyimbo ya Mr Paul ice cream??hah
Wimbo unaitwaga chocolate ule,kwanz ngj nikausikilize tena nimchambue vizuri huyo Jose kama anaeza endana na Maisha ya gheto ya MoMoe na Jose mtambo kama tupac na BIG..jay Moe Tupac,Jose BIG..jose hamumjui vizuri.haha we umesahau alichofanya kwenye nyimbo ya Mr Paul ice cream??hah
nisikilize Mimi,kipindi Jose mtambo anarap..jay moe alikua mdogo..angalia juu nimeorodhesha baadhi ya nyimbo za Jose,,Jose kaanza Ku rap kabla ya FM radios..kabla P funky hajulikani..hah na p fanki ndo kamtoa jay moe mwaka 2001..au 2002???Hahaha halaf hiyo nyimbo naipenda balaa,ile sauti ya mr paul ni hatari.
Halafu uyu Jose kumbe ni mhenga kuliko Mo???
yeah kweli..chocolate..nakumbuka mistari yoteee ya Jose mtambo..hahWimbo unaitwaga chocolate ule,kwanz ngj nikausikilize tena nimchambue vizuri huyo Jose kama anaeza endana na Maisha ya gheto ya Mo
Maisha ya Gheto ya Jay mo???hahaha Jay moe wakishua..Wimbo unaitwaga chocolate ule,kwanz ngj nikausikilize tena nimchambue vizuri huyo Jose kama anaeza endana na Maisha ya gheto ya Mo
Maisha ya boarding hehehe mekosea kuandika[emoji125] [emoji125] [emoji125]Maisha ya Gheto ya Jay mo???hahaha Jay moe wakishua..
Nishushie kidogo viiiile tehyeah kweli..chocolate..nakumbuka mistari yoteee ya Jose mtambo..hah
hapo sawaMaisha ya boarding hehehe mekosea kuandika[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] uyu ni mhenga kabisa,ndo mana namwona wa kawaida[emoji23]nisikilize Mimi,kipindi Jose mtambo anarap..jay moe alikua mdogo..angalia juu nimeorodhesha baadhi ya nyimbo za Jose,,Jose kaanza Ku rap kabla ya FM radios..kabla P funky hajulikani..hah na p fanki ndo kamtoa jay moe mwaka 2001..au 2002???
ndio utuulize wahenga..ilikuaje..hah[emoji23] uyu ni mhenga kabisa,ndo mana namwona wa kawaida[emoji23]
hahaha mwenye Uzi ataona tunazingua,tunaleta habari sio sebuleni kwake..Nishushie kidogo viiiile teh
Hahaa sawa mhenga,kati ya mvua na jua unapenda nini?ndio utuulize wahenga..ilikuaje..hah
hah kipindi hicho jay moe anaitwa mawazo..nikwambie verse kali za jay moe??iskize unforgettable ya nako2nako ft jay moe..iskize MAFIA ya ngwair FT jay moe..afu iskize Mbabaishaji ya jay moeHahaa sawa mhenga,kati ya mvua na jua unapenda nini?
Boy Kila mtu na ufundi wake,ambavyo Anavyo Jos,Moe Hana,ambavyo anavyo Moe,Jos Hana..mimi bana wote hao nawapa 50/50.. Wanaombeza Jos hah hawaijui Kizaazaa,Nothing.,iam Old school..,Tumejipanga..me bana Jose Mtambo Nina nyimbo zake hadi za mwaka 1998..bila kusahau DARASA HURU
ungemalizia #in a dully skies voicedarasa huru, mambo ni safi mpeto,
shika lako shika nala mwalimu,
akili nywele kila mtu anazo zake