Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

boss sihungi mkono hoja.haha Jose Ana Rap jay moe anasoma secondary..dahh
Huhu mo ni mkali namkubali vibaya na ngoma yake ya Ingekua vipi enzi izo,huyo Jose labda kwa vile sijamsikia sikia sana,ila Mo ni habari nyingine eti
 
Huhu mo ni mkali namkubali vibaya na ngoma yake ya Ingekua vipi enzi izo,huyo Jose labda kwa vile sijamsikia sikia sana,ila Mo ni habari nyingine eti
Moe na Jose mtambo kama tupac na BIG..jay Moe Tupac,Jose BIG..jose hamumjui vizuri.haha we umesahau alichofanya kwenye nyimbo ya Mr Paul ice cream??hah
 
Moe na Jose mtambo kama tupac na BIG..jay Moe Tupac,Jose BIG..jose hamumjui vizuri.haha we umesahau alichofanya kwenye nyimbo ya Mr Paul ice cream??hah
Wimbo unaitwaga chocolate ule,kwanz ngj nikausikilize tena nimchambue vizuri huyo Jose kama anaeza endana na Maisha ya gheto ya Mo
 
Hahaha halaf hiyo nyimbo naipenda balaa,ile sauti ya mr paul ni hatari.

Halafu uyu Jose kumbe ni mhenga kuliko Mo???
nisikilize Mimi,kipindi Jose mtambo anarap..jay moe alikua mdogo..angalia juu nimeorodhesha baadhi ya nyimbo za Jose,,Jose kaanza Ku rap kabla ya FM radios..kabla P funky hajulikani..hah na p fanki ndo kamtoa jay moe mwaka 2001..au 2002???
 
[emoji23] uyu ni mhenga kabisa,ndo mana namwona wa kawaida[emoji23]
 
-WAKATI WA KUJILINDA SASA,UTAKOMA UTAENYA NA KITHAA THAA
-AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA WAAMBIE WADOGO ZAKO WAACHE PODA WALE MMEA.

WOTE ZILIPENWA.
 
Boy Kila mtu na ufundi wake,ambavyo Anavyo Jos,Moe Hana,ambavyo anavyo Moe,Jos Hana..mimi bana wote hao nawapa 50/50.. Wanaombeza Jos hah hawaijui Kizaazaa,Nothing.,iam Old school..,Tumejipanga..me bana Jose Mtambo Nina nyimbo zake hadi za mwaka 1998..bila kusahau DARASA HURU

darasa huru, mambo ni safi mpeto,
shika lako shika nala mwalimu,
akili nywele kila mtu anazo zake
 
Back
Top Bottom