Kuna ile old skull hip hop ambayo walikua wakiifanya zamani, siku hizi haina soko.Tatizo jmo nae sikuhizi anaimba utumbo kama jo makini
Gud bro... hows yo weekend?Tsup bro?
Jose Mtambo,,, yuko vizuri,, sikiliza Darasa Huru,,, hapo ndo utajua Jose ni naniWengi mnamkubali mchopanga ila Jose naye ana kitu special na flow ya kivyake
Cool, unaonekana kwa machale sana!Gud bro... hows yo weekend?
Hapo nakubali.... busy kidogo ila hua nasoma michango ya wadau bila kutia neno.Cool, unaonekana kwa machale sana!
Hahahaha akili zako unazijua mwenyewe.Wote wapole
Haina shida, have a nice weekend!Hapo nakubali.... busy kidogo ila hua nasoma michango ya wadau bila kutia neno.
Same to you bro... one love.Haina shida, have a nice weekend!
[emoji111] [emoji111]Same to you bro... one love.
Kwa vile amefariki unamwona best,ika kafunikwa na j mo
Watanzania tunadharau sana,sasa mo fleva ni wakumfananisha na jose kweli?
Mkuu naitafuta sana hii ngoma ya Jose Kizaazaa bila mafanikio Ntafurahi sana kama ukiweka hapa..Boy Kila mtu na ufundi wake,ambavyo Anavyo Jos,Moe Hana,ambavyo anavyo Moe,Jos Hana..mimi bana wote hao nawapa 50/50.. Wanaombeza Jos hah hawaijui Kizaazaa,Nothing.,iam Old school..,Tumejipanga..me bana Jose Mtambo Nina nyimbo zake hadi za mwaka 1998..bila kusahau DARASA HURU
Acha kumfananisha Jay Mo na vitu vya ajabu ajabu[/QUOTEP]
Hahaahaha
Huyu jamaa atakuwa alikula kijiti... Cha Mbeya alafu..