Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Tatizo jmo nae sikuhizi anaimba utumbo kama jo makini
Kuna ile old skull hip hop ambayo walikua wakiifanya zamani, siku hizi haina soko.

Wengi wanaoimba hip hop ngumu siku hizi wanafanya for fun, ila sio kibiashara (mfano Nikki Mbishi).

Sasa Jay Moe kaamua kubadilika ili aendane na soko. Fame bila cash kwake haifai, sababu he has to pay the bills.

Wanaofanya ngumu na wanaofanya commercial, wote wako sawa!

Ndio maana kuna Eminem na pia kuna Drake!
 
Jay to the mo hatari. lakini pia jose mtambo wa kigambonino simchukulii poa
 
Na ka picha kake hebu kapost

IMG_5796.JPG
 
MO tech ni bonge la wordsmith, napenda style ya kigambonino though.
Kura yangu kwa Mo.
 
Boy Kila mtu na ufundi wake,ambavyo Anavyo Jos,Moe Hana,ambavyo anavyo Moe,Jos Hana..mimi bana wote hao nawapa 50/50.. Wanaombeza Jos hah hawaijui Kizaazaa,Nothing.,iam Old school..,Tumejipanga..me bana Jose Mtambo Nina nyimbo zake hadi za mwaka 1998..bila kusahau DARASA HURU
Mkuu naitafuta sana hii ngoma ya Jose Kizaazaa bila mafanikio Ntafurahi sana kama ukiweka hapa..

Kurudi Kwenye mpambano wa Jay Moe Vs Jos

JOSE MTAMBO NI BORA ZAIDI YA MOE YUKO NA FLOW YA KIPEKEE SANA, MISTARI YAKE INAUTAMU FLAN HV HACHOSHI KUMSKIZA MASIKIONI MUDA WOTE. HE'S THE G.O.A.T!!

- MWANGA NJOO GIZANI UPATE DISCIPLINE.

JOSE NOMA SANA, INGAWA MOE PIA NAMKUBALI.
 
Back
Top Bottom