Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Jose akisimama peke yake anaharibu, hadi ashirikishwe ndiyo anafanya manuva.. Ila siyo poa kumfananisha Mo na Jose
 
Ila Jose mtambo wa kitambo...nani anaikumbuka video/nyimbo yake ya kwanza..ila ukimcheki kama kijana tu kwenye 30s zake
 
Kuna ile ngoma alishirikishwa na roma,,,jina silikumbuki,,,jamaa aliflow vzr

Achana na ile yupo roma,darasa na mtambo
 
Ndio inaitwa hvyo mkuu??jamaa aliitendea haki ile beat,,,,mtambo anavyoflow ni kutoka moyon ana nata na beat sana,flow ya ukweli sana
Actually ni "kidole cha mwisho juu" ila pia ni maarufu kama "MECHI ZA UGENINI".
Ile kitu ni habari nyingine kabisa
 
Mkuu naitafuta sana hii ngoma ya Jose Kizaazaa bila mafanikio Ntafurahi sana kama ukiweka hapa..

Kurudi Kwenye mpambano wa Jay Moe Vs Jos

JOSE MTAMBO NI BORA ZAIDI YA MOE YUKO NA FLOW YA KIPEKEE SANA, MISTARI YAKE INAUTAMU FLAN HV HACHOSHI KUMSKIZA MASIKIONI MUDA WOTE. HE'S THE G.O.A.T!!

- MWANGA NJOO GIZANI UPATE DISCIPLINE.

JOSE NOMA SANA, INGAWA MOE PIA NAMKUBALI.
Darasa huru ni balaaaaaa
 
Naweza kumsikiliza
Hashimu dogo
Raf mc
Jay mo
Solo than
Ngwea......
usimuweke jose ktk level hizo jose mpeleke kwenye level za Mac D, balozi, Benjamin mambo jambo,Zaharan (tupa mawe) jose ni alitoa song ila ajawai kuishika game alikuwa kawaida tu....Jay more nampa 80 jose 20
Kama unataka demu" nakwenda kumpa dili akinata nageuza gari
Moo utavaaje ikiwa home na majukumu mshua itakuaje ikiwa home na majukumu yanii kasheshe la kazeze usiyoyaweza yote uyaweza
"Ticha ana teach some
Denti ana pafu some
 
hata kama ni mahaba, jose hamkuti mo hata kidogo
 
Mzee wa kigambonino yupo vizur ila mzeee wa Pesa madafu yupo vizur sanaaaa...nampa jay mooo (mteule maana mpka kuwa mteule aikuwa poapoa mchujo ulifanyika wahenga wanaelewa )
 
Naweza kumsikiliza
Hashimu dogo
Raf mc
Jay mo
Solo than
Ngwea......
usimuweke jose ktk level hizo jose mpeleke kwenye level za Mac D, balozi, Benjamin mambo jambo,Zaharan (tupa mawe) jose ni alitoa song ila ajawai kuishika game alikuwa kawaida tu....Jay more nampa 80 jose 20
Kama unataka demu" nakwenda kumpa dili akinata nageuza gari
Moo utavaaje ikiwa home na majukumu mshua itakuaje ikiwa home na majukumu yanii kasheshe la kazeze usiyoyaweza yote uyaweza
"Ticha ana teach some
Denti ana pafu some
Nakwenda kumpa dili akinata nageuza gari twende na sinza mbezi Shakira tano kunduchi
 
Back
Top Bottom