Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro Joseph Haule imhh ameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Katika muendelezo wa kampeni hizo, akiwa katika vijiji vya Madizini, Mululu na Msolwa kata ya Kisanga Prof. Jay ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa jimbo la Mikumi kupitia CHADEMA ametoa wito kwa wananchi kuchagua wagombea wa chama hicho ili waweze kuwaletea maendeleo katika maeneo yao