Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote sawaAnogewa au aamua kuchukua ili awatumikie wananch?
Ndo maana mlimpiga Warioba alivyowaletea rasimu , kuhusu Prof Jay yuko vizuri tunaitaji Mbunge makini na msomi.
Wakisimama kule bungeni na kusema barabara ya kutoka sehemu point A to B inatakiwa iwekwe lami ni kwa ajili ya wananchi wa maeneo hayo, wakitaka fedha kwa ajili ya ukarabati wa shule, kuchimba visima, kujenga zahanati vyote ni kwa ajili ya wananchi wao.Hivi wanunge huwa wanatutumikiaje? Hawa watu wafutwe watendaji wa serkali wa umma wanatosha.
Wachoongea bungeni sio mawazo yetu, hakuna mahali tunakaa nao na kupanga au kuwaambia watusemee nini , wanasema utashi wao tu
Sasa kama wote tungekuwa kama hao wanaofanya mikogo Mungu asingekuwa na haja ya kuumba wasio na mikogo.Mbona uchukuaji wake wa form so ordinary hakuna mikogo ya bodaboda, kubebwa akiingia ukumbuni, vigegele vya akina mama, kuombwa na wazee, kulipiwa form, kusimamishwa na wazee sijui wanafunzi njiani, msafara; heck ata mpambe hakuna sasa si bora asingepiga picha tu kama aliamua kwenda kimya.
Sio sawa. Kunogewa sounds like amefanya tamaa ili aendelee.Yote sawa
Kwani unaona anaitwaje?Huyu jamaa ana Elimu gani?Anajua sana kujenga hoja.
Ndio maana tunaandika ili kuwatafakarisha wadauSio sawa. Kunogewa sounds like amefanya tamaa ili aendelee.
Si unajua hawa wasanii aghalabu hupenda kutunia majina bandia.Nilidhani ni Uprof.wa kisanii.Samahani lakiini,ungenipa jibu badala ya kubandika swali juu ya swali languKwani unaona anaitwaje?
Shut up !Sio sawa. Kunogewa sounds like amefanya tamaa ili aendelee.
Pia katiba inasemaje kuhusu Elimu ya MBUNGEKwani unaona anaitwaje?
Kasome sasa unamuuliza nani?Pia katiba inasemaje kuhusu Elimu ya MBUNGE
Kasome sasa unamuuliza nani?