Joseph Kabila Aingia Goma jumatatu leo na kupokelewa na M23 Hatari ya DRC kugawanywa kati yaonekana

Watu walishasema huyu jamaa na baba yake ni Mtutsi wa Rwanda jamaa akabisha. Leo anajivua nguo mwenyewe ama kweli ukweli utajulikana tu bila nguvu yeyote.
Hamna hicho unachosema wewe ndo kinawatesa Congo-Kinshasa haitaki kuwapa vyeo wala kipaumbele watu wa mashariki-Congo kwa kisingizio ni wanyarwanda sio wa Congo asilia...
Sasa hilo ndo lina amsha hisia za ukabila kwa watu wa mashariki tatizo ambalo lilikua tokea watawala waliotangulia....wamesha shauriwa sana suala hilo la ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…