Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa lolote la jinai. Yani achilia mbali ugaidi, hata kosa la kutumia lugha mbaya sijaliona. Labda Mawakili Wasomi watusaidie kama kuna ugaidi kwenye hii kauli ya Katooki?
Soma zaidi: Ilemela - Mwanza: Watu 13 washitakiwa kwa ugaidi
Lakini najiuliza CCM wanataka nini hasa? Vijana walipokua wakitoa maoni kwa lugha ngumu, CCM walisema vijana waache matusi wajenge hoja watasikilizwa. Sasa huyu Katooki hajatukana mtu, amejenga hoja yake kwa lugha ya staha, mbona hajasikilizwa, bali ameishia kukamatwa? CCM mnachotaka ni kitu gani? Mbona hamueleweki? Na mnapata wapi ujasiri wa kuhubiri maridhiano kwa mambo kama haya?? Shame.!