Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Siku hii nchi ikikombolewa ccm lazima wachague moja kati ya mawili, kukimbia nchi au kuuwawa wote hilo walijue kabisaaa.Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa lolote la jinai. Yani achilia mbali ugaidi, hata kosa la kutumia lugha mbaya sijaliona. Labda Mawakili Wasomi watusaidie kama kuna ugaidi kwenye hii kauli ya Katooki?
Soma zaidi: Ilemela - Mwanza: Watu 13 washitakiwa kwa ugaidi
Lakini najiuliza CCM wanataka nini hasa? Vijana walipokua wakitoa maoni kwa lugha ngumu, CCM walisema vijana waache matusi wajenge hoja watasikilizwa. Sasa huyu Katooki hajatukana mtu, amejenga hoja yake kwa lugha ya staha, mbona hajasikilizwa, bali ameishia kukamatwa? CCM mnachotaka ni kitu gani? Mbona hamueleweki? Na mnapata wapi ujasiri wa kuhubiri maridhiano kwa mambo kama haya?? Shame.!
We ni mwehu kweliSiku hii nchi ikikombolewa ccm lazima wachague moja kati ya mawili, kukimbia nchi au kuuwawa wote hilo walijue kabisaaa.
Nchi ya magaidiHuyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa lolote la jinai. Yani achilia mbali ugaidi, hata kosa la kutumia lugha mbaya sijaliona. Labda Mawakili Wasomi watusaidie kama kuna ugaidi kwenye hii kauli ya Katooki?
Soma zaidi: Ilemela - Mwanza: Watu 13 washitakiwa kwa ugaidi
Lakini najiuliza CCM wanataka nini hasa? Vijana walipokua wakitoa maoni kwa lugha ngumu, CCM walisema vijana waache matusi wajenge hoja watasikilizwa. Sasa huyu Katooki hajatukana mtu, amejenga hoja yake kwa lugha ya staha, mbona hajasikilizwa, bali ameishia kukamatwa? CCM mnachotaka ni kitu gani? Mbona hamueleweki? Na mnapata wapi ujasiri wa kuhubiri maridhiano kwa mambo kama haya?? Shame.!
Kapewa Ugaidi
Noma sanaUgaidi ni fasheni mpya kwa sasa nchini.
Hatari sanaMungu atuepushie wasije kutokea magaidi wakweli halafu tukaanza kulia lia baadae mana kama tunaombea haya mambo mabaya sisiemu imekua sio chama cha siasa tena wanatumia nguvu kuwaambia wananchi wasiwasikilize CDM kwanini hawajiulizi mbona wananchi hawawasimilizi wao kwanini wanapuuzwa nakupingwa ile hali wameshinda kwa 97% wakipata majibu basi wataacha uhuni
Ccm ndio hao hao ambao baada ya kuikomboa nchi kutoka kwenye mikono yao nao wataungana na ukombozi kwahiyo hakuna wakuikimbia nchiSiku hii nchi ikikombolewa ccm lazima wachague moja kati ya mawili, kukimbia nchi au kuuwawa wote hilo walijue kabisaaa.
Mbona sielewi?Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa lolote la jinai. Yani achilia mbali ugaidi, hata kosa la kutumia lugha mbaya sijaliona. Labda Mawakili Wasomi watusaidie kama kuna ugaidi kwenye hii kauli ya Katooki?
Soma zaidi: Ilemela - Mwanza: Watu 13 washitakiwa kwa ugaidi
Lakini najiuliza CCM wanataka nini hasa? Vijana walipokua wakitoa maoni kwa lugha ngumu, CCM walisema vijana waache matusi wajenge hoja watasikilizwa. Sasa huyu Katooki hajatukana mtu, amejenga hoja yake kwa lugha ya staha, mbona hajasikilizwa, bali ameishia kukamatwa? CCM mnachotaka ni kitu gani? Mbona hamueleweki? Na mnapata wapi ujasiri wa kuhubiri maridhiano kwa mambo kama haya?? Shame.!
Na ikawaje "mlipoingilia kati"?Chadema Kyela tumeona hili jambo na tumeingilia kati