W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 319 Apr 13, 2013 #1 Habarini wanaJF!!!Naomba mnijuze mahali alipo huyu Joseph Katuba aliyekuwa golikipa wa timu ya yanga.Huyu jamaa alikuwa mahiri sana langoni.
Habarini wanaJF!!!Naomba mnijuze mahali alipo huyu Joseph Katuba aliyekuwa golikipa wa timu ya yanga.Huyu jamaa alikuwa mahiri sana langoni.
N NYAGI DRY JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 379 Reaction score 165 Apr 13, 2013 #2 kwani hujui alishafarik kaka?
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Apr 13, 2013 #3 he is dead mara ya mwisho alikuwa ni fundi seremala pale mwananyamala kituo cha msaada gereji
MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 Apr 13, 2013 #4 Joseph Katuba nilimjua akiwa Ndovu ya Arusha (sasa AFC).Alikuwa kipa mzuri sana akiwa na akina James Kisaka enzi hizo Ndovu ya Arusha ikitisha sana!
Joseph Katuba nilimjua akiwa Ndovu ya Arusha (sasa AFC).Alikuwa kipa mzuri sana akiwa na akina James Kisaka enzi hizo Ndovu ya Arusha ikitisha sana!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Apr 13, 2013 #5 R.i.p jk