Joseph Katuba: Aliyekuwa golikipa wa timu ya Yanga

Joseph Katuba: Aliyekuwa golikipa wa timu ya Yanga

WANKIE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
987
Reaction score
319
Habarini wanaJF!!!Naomba mnijuze mahali alipo huyu Joseph Katuba aliyekuwa golikipa wa timu ya yanga.Huyu jamaa alikuwa mahiri sana langoni.
 
he is dead mara ya mwisho alikuwa ni fundi seremala pale mwananyamala kituo cha msaada gereji
 
Joseph Katuba nilimjua akiwa Ndovu ya Arusha (sasa AFC).Alikuwa kipa mzuri sana akiwa na akina James Kisaka enzi hizo Ndovu ya Arusha ikitisha sana!
 
Back
Top Bottom