Joseph Kibwetere and Ugandan Cult Mass Murder/Suicide

View attachment 121810
Huyu jamaa sijui aliweza vipi kuwaconvince watu kuamini kwamba mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia na kuwajaza kwenye kanisa na kuwatia kibiriti halafu ye akala kona.

Its amazing how faith sometimes can blind us.

imani hasa imani za kidini=uzezeta,hakuna imani hata moja inayomfanya binadamu kuwa huru kifikra zaidi ya kuwa zezeta na kuamini vitu vya kufikirika.....
 
List of Ig Nobel Prize winners (2011)

  • Mathematics: Dorothy Martin of the USA (who predicted the world would end in 1954), Pat Robertson of the USA (who predicted the world would end in 1982), Elizabeth Clare Prophet of the USA (who predicted the world would end in 1990), Lee Jang Rim of Korea (who predicted the world would end in 1992), Credonia Mwerinde of Uganda (who predicted the world would end in 1999), and Harold Camping of the USA (who originally predicted the world would end on 6 September 1994, and later predicted that the world will end on 21 May 2011, which preceded his final prediction on 21 October 2011), for teaching the world to be careful when making mathematical assumptions and calculations.
 
Hakuna anayejuwa mwisho wa dunia.
 
Kama kweli Waafrika tunajipenda ipo haja ya kuweka kumbukumbu hii adhimu ambayo ingeweza kutukumbusha mambo mawili;-

1).Waafrika tusikubali kumuamini au kumfuata mtu eti kwasababu ni mzungu.

2).Tukio hili la kutolewa KAFARA kwa njia ya KIGAIDI halijirudii tena.

Yangu ni hayo tu.
 
mkuu hujaeleweka..unataka kusema nn?
 
Hahaha...hivi huyu jamaa alivyowachoma wenzake yeye akatimka nadhani hajapatikana hadi Leo. Hizi imani hizi jamani.
 
Kwani kibwetele .ni mzungu??? Au ulikuwa na maana gani ?
 
Soma hapa,uelewe
 
Soma zaidi,uelewe
 
Hivi huyu jamaa alikufa kweli? na familia yake iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…