Joseph Kibwetere and Ugandan Cult Mass Murder/Suicide

Joseph Kibwetere and Ugandan Cult Mass Murder/Suicide

Tatizo mheshimiwa sio kwamba faith inatublind..ni kwamba tunaendekeza blind faith...

You see, kuna wengine wetu ambao kila kitu wao wanamezeshwa na viongozi wa dini..wanasahau kuwa as humans, hata hawa viongozi watakuwa na mapungufu yao, utashi wao, chuki zao, n.k na kwamba ni vyepesi sana kuyaincorporate hayo katika mafundisho wakadanganya watu kuwa ndivyo Mungu anavyotaka.

It is for this case that Mungu alitupatia vitabu na sheria ni kwamba "in case of any controversy, refer to the Bible" (kwa wakristo wenzangu - siwezi semea upande wa pili)


As long as you let another person think for you, reason for you and decide for you then you are heading for a fall. Sikatai kwamba kuna watu wanaopaswa kutupa mafundisho ya kidini, no! point yangu ni kwamba sio kila unalofundishwa unalichukulia kuwa lipo hivyo..think and analyze..kwa kuwa Mungu kampa ubongo kila mtu then tukiutumia huo ubongo effectively no one can lead us astray..na tusisahau kuwa siku ya hukumu hakutakuwa na excuse ya "NILIFANYA HIVI KWA KUWA NILIAMBIWA NA KIONGOZI WANGU WA DINI" Japokuwa kiongozi huyo aliyedanganya watu ana adhabu yake kwa kudanganya huko, still kwako wewe itakuwa sio utetezi, Mungu atakuuliza "Hiyo akili nilikuwekea ya kazi gani kichwani"?


Na wengi wnaodanganywa wanatia sana huruma kwa sababu wana bidii kweli kweli na dini..lakini inakuwa sawa na mtu ambaye ana mbio kwelikweli kumkimbilia Mungu..tatizo the joker is running in the opposite direction.

Remember Paul (nee Saul)?, alikuwa mmojawapo wa Zealots, watu ambao walikuwa wanaongozwa na blind faith..walikuwa committed na mafundisho kupita kiasi..so kuwaua watu wa Mungu aliambiwa "this pleases God" na aliamini na kuwachinja kweli...luckily for him Mungu aliamua kumuweka katika mstari wa ukweli.

Kwa hiyo hawa victims wa Kibwetere, we can feel sorry for them lakini walipaswa kumuuliza huyu bwana "where is it written in the Bible?

Yesu mwenyewe alikuwa anatoa mafundisho pamoja na quotation. hata satan aliambiwa "...it is written...."

Tuondokane na blind faith ili kuepusha matatizo..there is no sin in questioning mafundisho yanayotoka kwa wanadamu wenzetu

Upo vizuri kaka... Blessed
 
Angekuwa muislam angeshaitwa gaidi na hii mada ingekuwa imejaa matusi na kashfa dhidi ya uislam.

Lakini kwasababu ni mgalatia watu wapo kimyaaa.


Mambo aliyo yafanya hayatofautiani na yanayofanywa na washenzi wanaojiita ISIS


HAKIKA MWENYEZIMUNGU HAKUKOSEA ALIPOSEMA HAWATOKUWA RADHI MAYAHUDI NA MANASWARA (WAKRISTO) MPAKA WAISLAM TUFUATE MILA ZAO


MAKAFIRI MMEJAA CHUKI

MAKAFIRI ? MAKAFIRI ni kina nani?
 
View attachment 121810
Huyu jamaa sijui aliweza vipi kuwaconvince watu kuamini kwamba mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia na kuwajaza kwenye kanisa na kuwatia kibiriti halafu ye akala kona.

Its amazing how faith sometimes can blind us.

Kama kina transfoma wanavyowadaganya majamaa wapande mbegu unadhani akiwaambiA wapande roho wwataacha?
 
Kuna watu wanapelekwa kama Misukule wanapelekwa pelekwa tu. Angalia hata makanisa ya kina fulani fulani. Yaani watumishi wako radhi kutoa hela wanaishi maisha magumu ila mwenye kanisa anatembelea Hammer Chopper etc anaishi pazuri
 
Historia yake huyu jamaa alishawah kuugua akili inaelekea hakupona vizuri ad kuja kuteketeza watu vile
 
Ina maana Interpol imeshisndwa kumkamata huyu jamaa??
 
Hana tofauti na hawa wanaosema wanafufua misukule,wanaponya vilema vipofu
 
Nizaidi ya mjuavyo

" What actually shocked the world more was the discovery of mass graves of more believers of this cult in different parts of the Uganda in places far from Kanungu that included Kampala. Shortly after the Kanungu massacre, 6 bodies were discovered in a pit next to where the leaders had just been living. As Ugandans and the world were coming to terms with how easily the cult had fooled everybody, 153 bodies were found under the floor of the cult's building at Buhinga, Rutoma, Rukungiri on March 25 2000. 155 more bodies were discovered in Rugazi, Bunyaruguru-Bushenyi on March 27 2000 under Fr. Kataribabo's house.

On March 30, 2000, another group of 81 bodies was found in Rushojwa, 35km north east of Kanungu. As if to disprove the general theory that the cult was restricted to south western Uganda, on 27 April 2000, 55 bodies were discovered in a mass grave at Buziga in Makindye division, Kampala.

No one can say with certainty that all related mass graves were discovered. At first, it was believed that the members of MRTC had willingly burnt to death in their Kanungu church, but pathologist reports indicated that many of the victims were clubbed, strangled or hacked to death and some were believed to have been poisoned prior to burning. Most of the dead were women and children."
 
Back
Top Bottom