Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
YanatishaMambo ya kishetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YanatishaMambo ya kishetani
Tatizo mheshimiwa sio kwamba faith inatublind..ni kwamba tunaendekeza blind faith...
You see, kuna wengine wetu ambao kila kitu wao wanamezeshwa na viongozi wa dini..wanasahau kuwa as humans, hata hawa viongozi watakuwa na mapungufu yao, utashi wao, chuki zao, n.k na kwamba ni vyepesi sana kuyaincorporate hayo katika mafundisho wakadanganya watu kuwa ndivyo Mungu anavyotaka.
It is for this case that Mungu alitupatia vitabu na sheria ni kwamba "in case of any controversy, refer to the Bible" (kwa wakristo wenzangu - siwezi semea upande wa pili)
As long as you let another person think for you, reason for you and decide for you then you are heading for a fall. Sikatai kwamba kuna watu wanaopaswa kutupa mafundisho ya kidini, no! point yangu ni kwamba sio kila unalofundishwa unalichukulia kuwa lipo hivyo..think and analyze..kwa kuwa Mungu kampa ubongo kila mtu then tukiutumia huo ubongo effectively no one can lead us astray..na tusisahau kuwa siku ya hukumu hakutakuwa na excuse ya "NILIFANYA HIVI KWA KUWA NILIAMBIWA NA KIONGOZI WANGU WA DINI" Japokuwa kiongozi huyo aliyedanganya watu ana adhabu yake kwa kudanganya huko, still kwako wewe itakuwa sio utetezi, Mungu atakuuliza "Hiyo akili nilikuwekea ya kazi gani kichwani"?
Na wengi wnaodanganywa wanatia sana huruma kwa sababu wana bidii kweli kweli na dini..lakini inakuwa sawa na mtu ambaye ana mbio kwelikweli kumkimbilia Mungu..tatizo the joker is running in the opposite direction.
Remember Paul (nee Saul)?, alikuwa mmojawapo wa Zealots, watu ambao walikuwa wanaongozwa na blind faith..walikuwa committed na mafundisho kupita kiasi..so kuwaua watu wa Mungu aliambiwa "this pleases God" na aliamini na kuwachinja kweli...luckily for him Mungu aliamua kumuweka katika mstari wa ukweli.
Kwa hiyo hawa victims wa Kibwetere, we can feel sorry for them lakini walipaswa kumuuliza huyu bwana "where is it written in the Bible?
Yesu mwenyewe alikuwa anatoa mafundisho pamoja na quotation. hata satan aliambiwa "...it is written...."
Tuondokane na blind faith ili kuepusha matatizo..there is no sin in questioning mafundisho yanayotoka kwa wanadamu wenzetu
Angekuwa muislam angeshaitwa gaidi na hii mada ingekuwa imejaa matusi na kashfa dhidi ya uislam.
Lakini kwasababu ni mgalatia watu wapo kimyaaa.
Mambo aliyo yafanya hayatofautiani na yanayofanywa na washenzi wanaojiita ISIS
HAKIKA MWENYEZIMUNGU HAKUKOSEA ALIPOSEMA HAWATOKUWA RADHI MAYAHUDI NA MANASWARA (WAKRISTO) MPAKA WAISLAM TUFUATE MILA ZAO
MAKAFIRI MMEJAA CHUKI
Mauwaji ya kusikitishaUpo vizuri kaka... Blessed
View attachment 121810
Huyu jamaa sijui aliweza vipi kuwaconvince watu kuamini kwamba mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia na kuwajaza kwenye kanisa na kuwatia kibiriti halafu ye akala kona.
Its amazing how faith sometimes can blind us.
Eleza ki uwazi wakueleweKama kina transfoma wanavyowadaganya majamaa wapande mbegu unadhani akiwaambiA wapande roho wwataacha?
Eleza ki uwazi wakuelewe
Upo vizuri kaka... Blessed
Mtakufa km wafuas wa kibwetere|ccm
Hivi haja patikana hadi Leo?View attachment 121810
Huyu jamaa sijui aliweza vipi kuwaconvince watu kuamini kwamba mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia na kuwajaza kwenye kanisa na kuwatia kibiriti halafu ye akala kona.
Its amazing how faith sometimes can blind us.
Mtakufa km wafuas wa kibwetere|ccm
Ni kitendo cha kuhuzunisha na kusikitisha sana,alichofanya.Historia yake huyu jamaa alishawah kuugua akili inaelekea hakupona vizuri ad kuja kuteketeza watu vile
Ina maana Interpol imeshisndwa kumkamata huyu jamaa??
Hukumu yake iko mbele ya Hakimu wa Haki,mbora wa kuhukumu.Miaka 15 mpaka leo sijui kwanini wameshindwa kumkamata. Wengine wanasema labda nae alikufa na moto haijulikani mpaka leo. Kama kajifisha adi leo basi ametisha