Huyu jamaa naona ugonjwa umemharibu mpaka ubongo. Hivi wana bodi mtu ambaye amepata tatizo la akili na alikuwa DR kabla ya ugonjwa kuna haja ya kulitumia jina hilo kwasababu akili ndio zilimfanya aitwe hivyo naomba ufafanuzi
Mfuasi wa EL!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa naona ugonjwa umemharibu mpaka ubongo. Hivi wana bodi mtu ambaye amepata tatizo la akili na alikuwa DR kabla ya ugonjwa kuna haja ya kulitumia jina hilo kwasababu akili ndio zilimfanya aitwe hivyo naomba ufafanuzi
Bado naamini kuwa Mwakyembe ni mnafiki
Unafaa kuwa mwalimu wa pale Muhimbili kwani ungewapata wengi wa kurudia Mwaka, mwanafunzi akikosea kumalizia jina la mdudu na spell ya S tu tayari huyo kakosa swali
Kwani yule anayejaza mimba wake za watu pale Mwenge amekamatwa lini? SI anawaambia tu uhamiaji wajishughulishe halafu yeye anakula kiyoyozi tu? Wajinga ndo waliwao. Yule aliyerundikiwa madhahabu na mavito kemkem ya thamani kuelekea Mwenge kutokea Ubungo inakuwaje yupo tu? Chezea mwenye pesa wewe.Cha ajabu eti hadi leo hajakamatwa pamoja
na Interpol tele kila kona Duniani.
Mpaka leo haifahamiki kama jamaa yu hai au alishakufa, ni unsolved mystery!